Madiwani wote wa CCM manispaa ya Tabora, leo wamehamia CHADEMA

Madiwani wote wa CCM manispaa ya Tabora leo wamejiunga na CHADEMA
11855639_604605103014318_8541391969954900051_n.jpg

Madiwani wangapi waliokatwa kamanada huko Tabora?

Kweli nyumbu hata wachinjwe vipi hawawezi kuisha.

Hawa madiwani na Dr.Slaa nani anaijua Chadema vizuri.
 
Makapi yananguvu kuliko mchele.Hivi wajua MAKAPIya MCHELEni kunitosha za kuchomea MATOFALI?Hivie wajua MAKAPI ya MCHELE ni mbolea hasa kwa wale wapanda mpunga na maharagwe.

Na hivi wajua Mpunga ukisha kobolewa huharibika ukimwakikiwa majikidogo tu,na pia haustahimilikukaa mwezi mzima bila kuota funza?Upo na makapi yanaka muda gani kuoza mpaka kuwa mbolea?Kwa kawaida MAKAPI ya mchele yanakaa miaka miwili kabla hayajaoza yote na kuwa mbolea.

Je wajua MAKAPIyanatoa mafuta ya kupikia?Kamani pumba za MAHINDI ndizo zenye vitamini kuliko mahindi yako uliyokoboa....

Kwa sisi wakulima tunajua umuhimu wa MAKAPI kuliko wa MCHELE............CCM on :A S-fire1::A S-fire1:

Wewe ni nomaaaaaa!!!!!!
 
Magamba wakichomoa mwaka huu,lazima wananchi tujiandae kisaikolojia kuingia ndani saa 12 jioni,naamini watapitisha sheria za kizayuni sana kulipiza kisasi.
 
Nimejifunza kwa wanaohama,ni wale ma reject ndan ya ccm,mie nawaona kama wanatapatapa tu wangehama miaka mitatu nyuma tungejua wanajipya saa njaa zao na hofu ya kutopitishwa majina
 
Madiwani? hivi mabaraza si yamevunjwa na kura za maoni tayari?

Kwa ujumla hao wamekatwa hawakushinda kura za maoni ccm. Nako Ukawa ikiwemo chadema nao walishawateua wateule wao. Wao wanaonyesha hasira yao baada ya kufanyiwa mizengwe na ccm.Tunaomba mtujulishe idadi yao kwani wakiwashawishi na waliokuwa wanawaunga mkono kuupigia kura ukawa tuna neema ya kutosha. Angalau mioyo yao imesuuzika.
 
Lazima CCM iondoke hata iweje
Chama Cha mafisadi 50 years nothing has been done so far since our independence!
October kitaeleweka tuu

Bado tu mnawaita watu mafisadi...huyo mliyechukua si ndiye mliyemtaja kuwa fisadi namba moja... na huyo ndiyo kifo chenu walamba makombo nyie!
 
Back
Top Bottom