Kumbukizi: Viongozi Tabora CHADEMA walizichapa kisa uchaguzi

Cute Wife

Senior Member
Nov 17, 2023
124
305
Tukio hili lilitokea November 17, lakini limeibuliwa jana 4/5/2024 kama tukio jipya. Je, walioibua tukio hili na kusema ni ya karibuni walikuwa na nia gani?

=====

Katibu wa baraza la vijana wa chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA BAVICHA Mkoa wa Tabora amezuiliwa kufanya mkutano na wandishi wa habari katika ofisi za chama hicho na uongozi wa Kanda jambo lililozua vurugu.

Vurugu hizo zimeibuka nje ya ofisi za chama cha CHADEMA kanda ya Magharibi ambapo pia ofisi za mkoa ziko hapo huku sababu ikitajwa kuwa ni afisa wa chama kanda ya Magharibi Paul Ginery kuzuia mkutano wa wanahabari ulioitishwa na katibu wa BAVICHA Mkoa wa Tabora Emmanuel Simwanza.

Baada ya vuta nikuvute na hali kuwa shwari Mwenyekiti wa chama cha Demokrasia na Maendeleo Manispaa ya Tabora Mathias Mush amesema kuwa sababu za vurugu ni majina yaliyoenguliwa kwenye usaili kufuatia uchaguzi uliokuwa unatarajiwa kufanyika Novemba 20 mwaka huu.

Naye Katibu wa BAVICHA Mkoa wa Tabora Emmanuel Siimwanza akizungumza nje ya ofisi za chama baada ya kuzuiliwa kutumia ofisi hizo anendelea kusisitiza kutokuwa na imani na viongozi waliofanya usaili na kusema kuwa uchaguzi hawatauruhusu kufanyika bila kupata majibu yanayoridhisha.

Paul Ginery afisa wa chama cha Demokrasia na maendeleo CHADEMA kanda ya Magharibi amabaye amezuia mkutano wa kiongozi wa BAVICHA na wandishi wa habari anasema uchaguzi utaahirishwa kama itatoka amri ya mamlaka kutoka makao makuu.

Baraza la BAVICHA wanapigania kurudishwa majina ya viongozi mbalimbali walioenguliwa katika usaili akiwemo katibu wa chama, Mwenyekiti wa baraza la wazee na wagombea wa baraza la vijana BAVICHA ambao wameeunguliwa wote.
 
Kwa hiyo hapo ndiyo wamepigana?Mwandishi,wewe ni kansolele ya Lwanzari.
 
Wanaofanya fujo kwenye uchaguzi katika mikoa yote ni watu wa Lissu, wanafata tabia ya mkubwa wao kutukana tukana, kufanya fujo, bora Mbowe abaki na uenyekiti wa chadema, sisi tunamtaka, sio huyo Chiba na kundi lake
 
Uliwahesabu na ukajua na majina yao mmojammoja?Huwa unaandika kama hauna shingo.
 
Ndio, hata njombe na iringa ni wao ndio walifanya fujo wakiamini kwamba watu wa Lissu wamekatwa, kumbe watu wa Lissu ni maboga tu, hayajui siasa zaidi ya kutukana na kupigana mateke na klebu
 
Ndiyo yako haijaleta orodha,idadi na picha za waleta vurugu.Farther from the truth!
 
Kwenye siasa hatuhitaji ushahidi wa kimahakama, mere allegation zinatosha, cha msingi sisi tumeamini allegation, na tunaamini ndio ukweli, kwani Lissu ana ushahidi wa pesa chafu?
 
Kwa mere-allegations mbona tungekufa wote.Hakuna maana ya shule wala sayansi ya siasa kwa kutanguliza miuongo mnayoyabatiza ni propagations!
 
Propaganda sio uongo, ni somo linalofundishwa darasani, ni sayansi ya kuwasilisha taarifa
 
Kwa hiyo hapo ndiyo wamepigana?Mwandishi,wewe ni kansolele ya Lwanzari.
Mkuu kweli nimeamini JF unaweza kuwa unabishana kwa hoja ama kuchambana kabisa na mwanao wa kuzaa akiwa nyuma ya keyboard chumbani kwake!

Kuna neno umeliongea hapo hadi nimeshituka na kutaka kuanza kufuatilia 'where abouts' zako.

Wewe waweza kuwa ni miongoni mwa ukoo wa kambale ambao ni watoto zangu!
 
Kuna mtu amekuzuia au kukukataza kuwaza hadi mwisho wa upeo wako?Sipendi kushangaa binadamu umezaa kambale.
 
Mbombo ngafu, wafanyakazi wa kiwanda cha rushwa wamezi
1714873548263.png
chapa
 
Back
Top Bottom