Shida nini?Katika vitu ambayvyo siwez jaribu ni huyo mdudu arghhh
Achana na hizo story. Gonga msosi huo.Malezi ya utotoni yMeniathiri yaan uwiii...!si unajua ukiambiwa hii ni kharamu sheikh..unakua nayo nimeshidnwa kbs mm
last wk niliimba karaoke..dah
na we umo?🎶last wk niliimba karaoke😁😁..dah
ha ha ha ha