firmware ya dwm157 ina passwrdKutokana na watu wengi kuhangaika sana jinsi ya kuunlock modem ya Zantel Dlink 157. Leo nimewaletea solution bure. Hakuna gharama
Baada ya kuunlock modem yako. Utaweza kutumia laini ya mtandao wowote ule kama vile Vodacom, Airtel, Halotel n.k
Mahitaji
- Download D-link 157 (DWM 157) Unlocked Firmware
- Modem ya D-link 157 ya Zantel
- Laini ya mtandao wowote mbali (isipokuwa ya Zantel)
Maelezo
1. Download Unlocked Firmware ya Dlink 157 kisha extract kwenye computer yako kwa kutumia software inayoitwa Winrar au 7-zip (Google utazipata)
2. Chomeka modem yako ikiwa na laini ya mtandao mwingine tofauti na Zantel (unaweza kuweka halotel, Airtel, Tigo n.k)
Hakikisha umefunga dashboard ya modem yako kwasababu itashindwa kuunlock modem yako
3. Run unlocked firmware as administrator kwa ku-right click unlocked firmware kisha chagua run as administrator
4. Itakuletea kidashboard. Weka tiki kwenye "I accept the agreement) kisha bonyeza Next
Iache i-update mpaka iandike "update success"
5. Chomoa modem yako kwenye computer. KIsha chomeka tena. Mpaka hapa itakuwa tayari na utaweza kutumia laini ya mtandao wowote ule.
Kumbuka
Kipindi una update firmware. Usichomoa modem au kuitikisa maana utabrick modem yako (sitahusika kwa hilo)
Usisahau kulike. Kazi njema
Download "zte join air" weka line yoyote weka seting za huo mtandao connect.Wadau naomba msaada namna ya kui unlock hii modem ili niweze kutumia na laini za mitandao mingineView attachment 1651597
Hii inahusishwa mpaka wifi modem.?
Msaada ku unlock modem ya Tigo E5573Bs-322
1. Ndio inasoma simlock code1. Ukiweka laini ya mtandao mwingine inaomba SIMLOCK Code?
2. Ukiandika inaandikika?
3. Inaomba NCK code ngapi 8 au 16?
Router na modem za ttcl nilishawahi kusikia ni ngumu sana kuzi unlockMsaada jinsi ya ku unlock hio router ya ttcl MC118 Please View attachment 1549788
1. Ndio inasoma simlock code
2. Ndio inaandikika
3. NCK code inaomba 16