Mabingwa wa kutunga nyuzi za uongo uongo

Huenda ni mimi pekee ambaye huwa siangalii ni nani ameandika bali nini kimeandikwa...., kwahio najibu kitu kutokana na content na sio ukweli wa kama kimemtokea muhusika (sababu kama sio yeye kuna mwingine) au ni Nani amekileta.....

Vilevile the Boy who cried Wolf haimaanishi hakuna siku Wolf hatatokea..., Pia, Even a Broken Clock is Right Twice a Day...., Na hizo Fiksi kama zinaletwa kuburudisha heko kwao....

To each their Own....
 
Back
Top Bottom