Maamuzi mengine banaa,,,,...,,,!

Kisoda2

JF-Expert Member
May 30, 2008
2,475
745
Mama 1 kaenda kwenye kikao cha harusi. Kwa kuwa kulikua na kinywaji cha kutosha kachelewa kurudi home mpaka 6.30 usiku, kauta mume keshalala kabisa.
Mama: Hodi?
Mume akamwambia: Kalale huko huko!
Mke akajibu: Sikuja kulala,nimekuja chukua CONDOMS ziko kwenye pochi juu ya kabati!
Mume: Kazima mpaka leo.:faint::faint::faint::faint:
 
Back
Top Bottom