Maadhimisho ya Mei Mosi bila Matarajio Bora kwa wafanyakazi ni udhalilishaji kwa watumishi

bahatibahati

Member
Jul 4, 2023
21
38
Hivi ndivyo tunavyotakiwa kusema, kwani kuna mtumishi mmoja ametoka kusherehekea Mei Mosi napa Arusha ana huzuni kubwa kwani hakuna hata tarajio Moja lililosemwa kama motisha kwa wafanyakazi.

Tunajiuliza serikali inaposema mtikisiko wa uchumi, kwani nchi nyengine kama Zanzibar zinazojali maslahi Bora ya Watumishi hakuna mtikisiko?

Wafanyakazi kwakweli hamuwatendei haki.
 
Itajulikana Mshahara wa July....Maana kuna wakati serikali inahofia kutangaza ili kuepusha kupanda kwa mfumuko wa Bei....
 
Hivi ndivyo tunavyotakiwa kusema, kwani Kuna mtumishi Moja ametoka kusherehekea MEIMOSI napa Arusha ana huzuni kubwa kwani hakuna hata tarajio Moja lililosemwa kama motisha kwa WAFANYAKAZI.
Tunajiuliza serikali inaposema mtikisiko wa uchumi, kwani nchi nyengine kama Zanzibar zinazojali maslahi Bora ya WATUMISHI hakuna mtikisiko?
Wafanyakazi kwakweli hamuwatendei haki.
Mmeishia kupata burudani ya Wadudu! 😁
 
May mosi sio siku ya maandamano ya kudai haki, ni siku ya kupongezana kwa utumishi ulitukuka ni siku ya kupeana zawadi, sasa sisi tunageuza siku ya kutoa kero na dukuduku, hapana
 
Hivi ndivyo tunavyotakiwa kusema, kwani kuna mtumishi mmoja ametoka kusherehekea Mei Mosi napa Arusha ana huzuni kubwa kwani hakuna hata tarajio Moja lililosemwa kama motisha kwa wafanyakazi.

Tunajiuliza serikali inaposema mtikisiko wa uchumi, kwani nchi nyengine kama Zanzibar zinazojali maslahi Bora ya Watumishi hakuna mtikisiko?

Wafanyakazi kwakweli hamuwatendei haki.
Je, Wewe binafsi ulitarajia kupata Nini kwenye Mei Mosi hii ya mwaka huu wa 2024?
 
Inasikitisha sana
Hivi ndivyo tunavyotakiwa kusema, kwani kuna mtumishi mmoja ametoka kusherehekea Mei Mosi napa Arusha ana huzuni kubwa kwani hakuna hata tarajio Moja lililosemwa kama motisha kwa wafanyakazi.

Tunajiuliza serikali inaposema mtikisiko wa uchumi, kwani nchi nyengine kama Zanzibar zinazojali maslahi Bora ya Watumishi hakuna mtikisiko?

Wafanyakazi kwakweli hamuwatendei haki.
 
Hivi ndivyo tunavyotakiwa kusema, kwani kuna mtumishi mmoja ametoka kusherehekea Mei Mosi napa Arusha ana huzuni kubwa kwani hakuna hata tarajio Moja lililosemwa kama motisha kwa wafanyakazi.

Tunajiuliza serikali inaposema mtikisiko wa uchumi, kwani nchi nyengine kama Zanzibar zinazojali maslahi Bora ya Watumishi hakuna mtikisiko?

Wafanyakazi kwakweli hamuwatendei haki.
Wanapenda kujidhalilisha si wanajifanya hawana dhiki wanachangia hela Rais achukuwe fomu wanashida hao?
 
Kila kitu kilichoharibika kikatolewa ahadi kwamba kitafanyiwa kazi.
NHIF
KIKOKOTOO
NYONGEZA YA MISHAHARA
 
Hivi ndivyo tunavyotakiwa kusema, kwani kuna mtumishi mmoja ametoka kusherehekea Mei Mosi napa Arusha ana huzuni kubwa kwani hakuna hata tarajio Moja lililosemwa kama motisha kwa wafanyakazi.

Tunajiuliza serikali inaposema mtikisiko wa uchumi, kwani nchi nyengine kama Zanzibar zinazojali maslahi Bora ya Watumishi hakuna mtikisiko?

Wafanyakazi kwakweli hamuwatendei haki.
Nilishasema siku hizi hakuna viongozi wa vyama vya wafanyakazi bali kuna vikundi vya wahuni wahuni tu wanaoshirikiana na serikali kuwanyonya na kuwaibia wafanyakazi wenzao.
ova
 
Back
Top Bottom