Zekidon
JF-Expert Member
- May 29, 2013
- 1,903
- 566
Kumbe 1st yenyewe ya Tumaini!.
Hebu naomba usiaibishe heshima ya 1st Class, tangu lini 1st class holder wa sheria akatafuta kazi?. Hii ni dalili hiyo 1st class yako ni ya kupewa tuu ili mboost image ya Tumaini.
UDSM nazijua 1st Class tatu, Dr. Asha Migiro, Prof. Palamagamba Kabudi na Prof. Hamudi Majamba ambaye ya kwake ndio ya mwisho 80's mpaka sasa, more than 20 years Ist Class haijawahi kupatikana tena, hivyo lazima nione ajabu 1st class wa LL.B kutafuta kazi. Very unusual!.
First class ya mwisho UDSM ni ya Prof Hamudi Majamba, early 90's wacha hizo mkuu