Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 92,335
- 113,987
Kwa hiyo hao wenye first class wana akili kama NEWTON au Albert Einstein?
Thubutu!
Kwa hiyo hao wenye first class wana akili kama NEWTON au Albert Einstein?
Source: Capital markets and securty law..ipo udsm peke ake! Viva Mlimani
Umeandika kwa hasira ndo alikuwa kipanga wenu nini? Siwezi meza upuuzi ka huu kwa taarifa yako mi siwezi kusoma kozi za kina mama nimemuachia mama yeyooooo.
Kozi ya Kina Baba ndo Ipi? Huko science wamejaa mashoga kibao tunawajua? Hivi Tundu Lisu naye mama ndo unavyotaka kusema we kaka poa?
ugumu upo hapa everything is right..there is no single answer but rather multiple answers..1+1 is not 2 in law it could even be 11, or whatsoever unike physics or science ambapo formula unayopewa ni constant inatoa majibu yenye muelekeo..sasa..unaposoma kitu ambacho kila kitu ni jibu ila what matters ni umemconvince vipi mtu inakua balaa...maana anaweza ona hujamconvince kutokana na yeye uelewa wake ulivyo...imagine unasoma course hujawahi iona hata marking scheme...paper mlizofanya i.e tests hazirudishwi so hujui wapi umeekosea...majibu ya maswali hayatolewi..tofauti na kozi zingine ambazo watu wakisolve tu past paper wanapga A za hatari lakini kitivo UDSM unaweza solve pepa na bado ikaletwa pepa..hujawahi iona hata siku moja...Hakika wewe hunijui kabisa na huna hata chembe ya "idea" mimi ni mtu wa namna gani. Je, unaweza kuniambia kwa kinagaubaga ugumu wa kusoma sheria uko wapi?Kwa mfano, kama unajua chochote kuhusu theoretical physics utajua kwamba ni ngumu kwa sababu ni abstract. Je sheria ugumu wake uko kwenye nini?
Dege Dege, Lissu ni school mate wangu tangu Ilboru, wakati huo akiitwa Antipas Tundu na alikuwa toto tundu kweli.
Pia ni kweli ndio alikuwa best performer wa mwaka wake lakini kuwa best performer ni kitu kimoja na kupata 1st Class ni kitu kingine. Best performer anapatikana kila mwaka hata darasa zima wakipata pass, mwenye lower second ndie best perfomer.
Tindu Lissu alipata Upper Second na GPA ya juu kabisa with honours ila sio 1st Class.
Mlisikia wapi Ist Class wa Law anaomba kazi?. 1st Class wote kwanza huwa wanakuwa retained na chuo husika. Hugombewa kupewa scholaship ya masters na ajira juu, hivyo mwenye 1st Class huunganisha shule na sio kutafuta kazi, kazi ndizo huwa zinawatafuta watu hawa!.
Kumbe 1st yenyewe ya Tumaini!.
Hebu naomba usiaibishe heshima ya 1st Class, tangu lini 1st class holder wa sheria akatafuta kazi?. Hii ni dalili hiyo 1st class yako ni ya kupewa tuu ili mboost image ya Tumaini.
UDSM nazijua 1st Class tatu, Dr. Asha Migiro, Prof. Palamagamba Kabudi na Prof. Hamudi Majamba ambaye ya kwake ndio ya mwisho 80's mpaka sasa, more than 20 years Ist Class haijawahi kupatikana tena, hivyo lazima nione ajabu 1st class wa LL.B kutafuta kazi. Very unusual!.
Ushapata kazi? Kama bado mtafute Mwigulu Nchemba naye ni daraja la kwanza kama wewe.
mbona mnamponda baada ya kumpa support aisee msaidieni au ndio watz atupendani..mkuu nenda kwenye recruitment office au law chambers mkuu..