List ya short course za IT zinazolipa

kulipa au kutokulipa itategemeana na maujanja yako ila kwa ufupi hizi fani za it kwa sasa kulenga solo letu LA ndani ni vigumu kutoboa kwani ishu iliyokuwa ina lipa kirahisi ni blogging lakini sasa ndo hivyo zishavamiwa na malaika waasi

Ukijifunza coding ukafungua ofsi yako bongo badala ya watu kukuletea kazi za kuwatengenezea applications watakuletea computer,printer na machine zao za photocopy zirizoharibika toka mwaka 2010 uwarekebishie
 
Wanakutisha mkuu, mimi nina diploma ya computer science napiga pesa kuliko daktari mwenye PHD.
Soma coding hasa Java ni tamu sanaa uanze kutengeneza android application pia usiache computer maintenance.
ok so programming java ndio inalipa?
 
hahahahahaha. kuna ukweli flani umu
 
1.Graphics design
2.web development
Wanakutisha mkuu, mimi nina diploma ya computer science napiga pesa kuliko daktari mwenye PHD.
Soma coding hasa Java ni tamu sanaa uanze kutengeneza android application pia usiache computer maintenance.

Graphic design it's the best na web dev sio sana ila na pia software engineering ndo course inayolipa sana
Pia ivi kuna diploma ya computer science bcz I'm not sure??:oops:
 
dip ya computer science ipo mkuu!!
 
Wanakutisha mkuu, mimi nina diploma ya computer science napiga pesa kuliko daktari mwenye PHD.
Soma coding hasa Java ni tamu sanaa uanze kutengeneza android application pia usiache computer maintenance.
Kivipi mkuu?
 
Back
Top Bottom