He's much smarter than you & it's undisputable, having won elections that unfree & unfair , though it seems those who count the votes determine the winner more than the voters themselves, a situation very unfortunately you're a part of promoting. Nevertheless, I believe one day he will govern Tz a thing which you ll be always unease.Naomba usinilinganishe na TL, kwasababu hatufanani, kuwa president wa bar, hata mimi naweza kuja kuwa!. Kule kugombea urais mimi ni miongoni mwa tuliomchagiza!, Uchaguzi 2020 - Tundu Lissu ndiye asimame na Magufuli 2020? Ameonyesha uwezo zaidi ya Magufuli! na kuna vitu vingi tuu tunamsaidia Nyaraka za Muungano: Tundu Lissu kutoishukuru JF na Pasco maana yake nini?
TL is good, but not in everything, and I'm bad, but not in everything!.
Pascal hujajibu hoja za Lissu kuhusu muungano uchwara huo uliojaa makando kando.Mkuu Matrix19 , naomba nikusaidie kuhusu wanasheria/mawakili, mtu kuwa wakili sio lazima ufanye litigations!. Law has so many field, na kwa taarifa yako, mawakili wa litigations are the poorest!. Sijawahi kwenda mahakamani hata siku moja!.
NB. Kwa wakili kwenda mahakama na kushinda kesi, hakumfanyi kuwa wakili bora, na wakili kutokwenda mahakamani, hakumfanyi kuwa sio wakili bora!. Umewahi kuwasikia mawakili madada wawili, Dr. Hawa Sinare na Mwanaidi Maajar? na Law firm yao ya Epitome?. Umewahi kuwasikia wakienda mahakamani kutetea kesi yoyote ya litigations?, they are among the richest!.
Kwa umri na kwa shule, mimi nimemtangulia TL, ila kwenye uwakili amenitangulia more than 10 ahead, na he is good kwenye kazi yake ya uwakili, na mimi ni mwandishi tuu wa habari na niko good kwenye kazi yangu. Naomba tembelea hapa, Katiba: CHADEMA mlikosea! Kubalini yaishe, Tusonge mbele!
uone kuna a silly mistake Chadema walifanya, angalia aliyefanya kosa hilo ni nani?.
Japo ki umri nimemtangulia TL, lakini mimi kwake ni kama sisimizi mbele yake, wala sistahili hata kufunga gidamu ya kiatu chake!.
P
Pascal Mayalla ...umeshindwa kujibu hiyi hoja afadhali retake it ...unavichaka vingi Sana mda mwingine frelecer journalism, mara wakili wakujitegemea mda mwingine mjumbe wa CCM Kawe...wewe kihalisi ni wewe Nani? au popoo???Jibu hoja current za Lissu mkuu acha kujificha kwenye kivuli cha ubwana mdogo na ubwana mkubwa.
Licha ya wewe kuwa mkubwa kuliko Lissu kwenye rekodi za uwakili hujawahi kuwakilisha hata mtu mmoja mahakamani hata kwenye kesi ya wizi wa kuku.
Kiufupi wewe kwenye rekodi ya kesi ulizoshinda ni 0 , huku Lissu ameigaragaza serikali yako ya CCM kwenye kesi kibao kuanzia zama za Mkapa kwenye kesi za wachimbaji wa madini 1997 kule Tarime aliendelea kuwagagaraza hadi enzi za Kikwete na Dikteta mhutu kutoka Chato mlipompa kesi kibao za uchochezi.
Come again Pascal.
You're not smart can't be president wa bar....jaribu tuone ....wewe umejaa majingambo na ujuwaji for nothingNaomba usinilinganishe na TL, kwasababu hatufanani, kuwa president wa bar, hata mimi naweza kuja kuwa!. Kule kugombea urais mimi ni miongoni mwa tuliomchagiza!, Uchaguzi 2020 - Tundu Lissu ndiye asimame na Magufuli 2020? Ameonyesha uwezo zaidi ya Magufuli! na kuna vitu vingi tuu tunamsaidia Nyaraka za Muungano: Tundu Lissu kutoishukuru JF na Pasco maana yake nini?
TL is good, but not in everything, and I'm bad, but not in everything!.
We ni jinga km huyo shogako Lissu, ana hoja gani huyo mshamba anayetumiwa na wazungu kuvuruga nchi yetu.
Kwanza sina desturi ya kutukana, bali najibu hoja hadi hapo huna enough evidence to prove beyond reasonable doubt kwamba Lissu au mimi ni shoga maana utahitaji medical procedures tu kuthibitisha hilo.Lissu ni taka×2 isiyo na shukrani.
Hata asingepelekwa na ndege ya Mzanzibar fahamu tu angeenda nje kwa matibabu zaidi kwani baada ya wenye nia ya kumuua Dr Steven Ulimboka 2012 kufeli unafikiri aliwezaje kwenda Afrika ya Kusini akiwa mahututi kwa matibabu zaidi hatimaye kurejea akiwa amekuwa sawa kiafya?Alipelekwa Nairobi na ndege ya Mzanzibari mh. Turky,
Samia hakulazimishwa kwenda kumuona au unafikiri ni Samia pekeyake ndio alifika sababu alipiga naye picha je vipi walioenda na hawakupiga picha kujionyesha kuwa walienda kumjulia hali hospitali Nairobi?kiongozi pekee wa serikali alienda kumtembelea hospitalini Nairobi ni mzanzibari Samia Suluhu Hassan.
Lissu hajambagua mtu ni katika kuweka hali sawa , muungano una dosari nyingi leo hii watu kuvusha bidhaa kwenda Zanzibar wanatozwa pesa ilhali ni nchi moja?Leo anawabagua wazanzibari, kwangu mm huyi nyumbu wenu ana laana.
Huyu jamaa miaka yote tu anatutambia kuwa Lissu ni mdogo wake ila nimemwambia umri sio kitu hata kobe anazeeka.Pascal Mayalla ...umeshindwa kujibu hiyi hoja afadhali retake it ...unavichaka vingi Sana mda mwingine frelecer journalism, mara wakili wakujitegemea mda mwingine mjumbe wa CCM Kawe...wewe kihalisi ni wewe Nani? au popoo???
Umenena mkuu....mwanzo kabisa nilimchukulia kama non partisan... Mwisho wasiku wakimkataa kawe wajumbe...akawa na chuki na jealousy na mh Lissu...in short Pascal Mayalla is a political salvageHuyu jamaa miaka yote tu anatutambia kuwa Lissu ni mdogo wake ila nimemwambia umri sio kitu hata kobe anazeeka.
Tukimuweka katika mizania ya taaluma ya sheria Pascal anayo mengi ya kujifunza kwa Lissu na mfano hata leo ukiuliza wangapi wanamjua Pascal kuwa ni wakili ni watu wachache sana wengi wanamjua kama mwandishi wa habari na hasa watu wa rika letu tuliyoshuhudia "kitimoto".
Duh...!, kiukweli, kuna baadhi ya watu ni baraka humu, hawanaga chuki na yeyote!, mimi ni mmoja wao, hata mtu akinitukana, beza, au kunisema vibaya, anakula like yangu!, sasa hiyo chuki ya kumchukia mtu, itoke wapi?.Umenena mkuu....mwanzo kabisa nilimchukulia kama non partisan... Mwisho wasiku wakimkataa kawe wajumbe...akawa na chuki na jealousy na mh Lissu...in short Pascal Mayalla is a political salvage
Tundu lissu amepiga utosiniNimekuwa nikifuatilia hotuba za Lissu kwenye ziara zake. Kwanza nilichobaini ni uwepo wa siasa za kukigawa chama na nchi kwa ujumla. Lakini pia hasira na mihemko kwenye kauli zake apunguze na atangulize uzalendo, hekima na busara. Siyo kila kitu ni cha kuwajibu CCM hata kunyamaza ni hekima na busara. Usipende mno sifa za kwako pekee jenga team work na Mwenyekiti wako na uongozi kwa ujumla.
Upinzani umeshindwa kuing'oa CCM kwa sababu ya ulegevu wenu wa ndani na tamaa za madaraka na fedha na kutoaminiana.
Kaeni chini mtafakari kwa kina na tumieni watafiti kama ilivyokuwa kipindi cha Dkt. Slaa kujua nani apeperushe bendera vinginevyo mmekwisha, mtasambratika kama CUF, NCCR Mageuzi nk.
ACT itawapiku sasa hivi wanaonesha wako well organized na wanaonesha ukomavu wa kisiasa siyo ubabe wa akina Lissu anayekipasua chama.
Wewe ni conman tuu.....hivi kumpa like can testify being a good person? nadhani maneno yako ndio yanaongea jinsi umekua na chuki na jealous, hatred n.k towards mh Lissu... Usiwe na tabia za ukatili kama wa jumbe wa Kawe... Free advice samahani lakini mkuuDuh...!, kiukweli, kuna baadhi ya watu ni baraka humu, hawanaga chuki na yeyote!, mimi ni mmoja wao, hata mtu akinitukana, beza, au kunisema vibaya, anakula like yangu!, sasa hiyo chuki ya kumchukia mtu, itoke wapi?.
P
Juzi karusha ka kombola kadogo tu ka muungano - CCM nzima ikachachawa.Ukimjibu chizi na wewe utaonekana chizi
Una hoja lkn kwa hili umepuyanga. Ccm iko madarakani kwasabb ya dola na "tume mtu" tu!Upinzani umeshindwa kuing'oa CCM kwa sababu ya ulegevu wenu wa ndani na tamaa za madaraka na fedha na kutoaminiana.
Healing is a process, Kama hujawahi pitishwa kwenye machungu kwa uonevu huwezi kuelewa. With time ata heal, give him spaceNimekuwa nikifuatilia hotuba za Lissu kwenye ziara zake. Kwanza nilichobaini ni uwepo wa siasa za kukigawa chama na nchi kwa ujumla. Lakini pia hasira na mihemko kwenye kauli zake apunguze na atangulize uzalendo, hekima na busara. Siyo kila kitu ni cha kuwajibu CCM hata kunyamaza ni hekima na busara. Usipende mno sifa za kwako pekee jenga team work na Mwenyekiti wako na uongozi kwa ujumla.
Upinzani umeshindwa kuing'oa CCM kwa sababu ya ulegevu wenu wa ndani na tamaa za madaraka na fedha na kutoaminiana.
Kaeni chini mtafakari kwa kina na tumieni watafiti kama ilivyokuwa kipindi cha Dkt. Slaa kujua nani apeperushe bendera vinginevyo mmekwisha, mtasambratika kama CUF, NCCR Mageuzi nk.
ACT itawapiku sasa hivi wanaonesha wako well organized na wanaonesha ukomavu wa kisiasa siyo ubabe wa akina Lissu anayekipasua chama.
Watu wapo wengi tu.Hivi katiba ya Chadema inasemaje akifa Mwenyekiti Taifa wa Chadema Kama kwa Magufuli nani atachukua uongozi kwa utaratibu gani?
Haya ni maneno yasio staha hata kidogo! Modereta mnatazama tu! Angekuwa katukanwa mama kizimkazi au January! Uyu mtu angepigwa ban! Kuna double standard hapa!We ni jinga km huyo shogako Lissu, ana hoja gani huyo mshamba anayetumiwa na wazungu kuvuruga nchi yetu. Lissu ni taka×2 isiyo na shukrani. Alipelekwa Nairobi na ndege ya Mzanzibari mh. Turky, kiongozi pekee wa serikali alienda kumtembelea hospitalini Nairobi ni mzanzibari Samia Suluhu Hassan. Leo anawabagua wazanzibari, kwangu mm huyi nyumbu wenu ana laana.
Chadema wote ukiacha wachache kama mbowe, salum mwalimu, mnyika huwa hawana busara ni mihasira, malipizi , jazba hata sijui watakuwa viongozi wa aina gani tukiwapa nchi, hata baadhi ya mawakili wao akili zao hivyo hivyo tuNimekuwa nikifuatilia hotuba za Lissu kwenye ziara zake. Kwanza nilichobaini ni uwepo wa siasa za kukigawa chama na nchi kwa ujumla. Lakini pia hasira na mihemko kwenye kauli zake apunguze na atangulize uzalendo, hekima na busara. Siyo kila kitu ni cha kuwajibu CCM hata kunyamaza ni hekima na busara. Usipende mno sifa za kwako pekee jenga team work na Mwenyekiti wako na uongozi kwa ujumla.
Upinzani umeshindwa kuing'oa CCM kwa sababu ya ulegevu wenu wa ndani na tamaa za madaraka na fedha na kutoaminiana.
Kaeni chini mtafakari kwa kina na tumieni watafiti kama ilivyokuwa kipindi cha Dkt. Slaa kujua nani apeperushe bendera vinginevyo mmekwisha, mtasambratika kama CUF, NCCR Mageuzi nk.
ACT itawapiku sasa hivi wanaonesha wako well organized na wanaonesha ukomavu wa kisiasa siyo ubabe wa akina Lissu anayekipasua chama.
Uvumilivu mwingine hauna faida hata kidogo.Chadema wote ukiacha wachache kama mbowe, salum mwalimu, mnyika huwa hawana busara ni mihasira, malipizi , jazba hata sijui watakuwa viongozi wa aina gani tukiwapa nchi, hata baadhi ya mawakili wao akili zao hivyo hivyo tu