Lissu and the Company, wamefaidi matunda ya Muungano wamewapa watoto wao uraia wa nje, sasa Wanapotosha vijana, tuwakatae kwa nguvu zote

Robert S Gulenga

JF-Expert Member
Jan 3, 2013
2,183
1,502
Lissu na timu yake ile inayotaka kujitenga CHADEMA (Msigwa na John), ni Wanufaika wa Muungano wa Zanzibar na Tanganyika, Wamesomeshwa na Matunda ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Leo kwa sababu zao za kisiasa na kiuchumi wanahubiri kuvunjwa kwa Muungano wa Zanzibar na Tanganyika.

Maswali ya kujiuliza, kwanini wakuhubiri na kupigania hili wakiwa Wabunge? Kwanini sasa? Nini kimejificha nyuma ya agenda zao?

Kwanini Chama chao kimewatenga kwenye harakati zao?

Vijana wa Kitanzania, Tanzania ni yetu sote, tulinde Muungano kwa wivu mkubwa.

Watoto wetu waje wanufaike na matunda ya Wapigania haki na Uhuru wa Zanzibar na Tanganyika, wanufaike na Matunda ya Muungano, tukatae kuongozwa na hisia za mtu aliye kataa familia yake isiwe sehemu ya Watanzania.

Mwenyezi Mungu ibariki Tanzania
Mwenyezi Mungu mbariki Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
 
Lisu na timu yake ile inayotaka kujitenga CHADEMA (Msigwa na John), ni Wanufaika wa Muungano wa Zanzibar na Tanganyika, Wamesomesha na Matunda ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Hivi una akili kweli huu nao unaweza kusema ni muungano.
 
Je wabara wanaweza kununua shamba au kumiliki ardhi Zanzibar?

Je Wanzibari wanaweza kununua shamba au kumiliki ardhi Bara?

Kama majibu hayafanani kwenye nchi moja kuna tatizo
 
Utopolo at his best... Gwajima anauliza, “ hivi ulikula maharagwe ya wapi”?
 
Je wabara wanaweza kununua shamba au kumiliki ardhi Zanzibar?
Je Wanzibari wanaweza kununua shamba au kumiliki ardhi Bara?

Kama majibu hayafanani kwenye nchi moja kuna tatizo
Kwahiyo unataka kusema Mwalimu J.K. Nyerere alikuwa mpumbavu? Hakuliona hili? Kamundu, Muungano huu ni salama kabisa, mpaka leo ulipo kuna Watu wameupigania kwa Jasho na Damu
 
Lisu na timu yake ile inayotaka kujitenga CHADEMA (Msigwa na John), ni Wanufaika wa Muungano wa Zanzibar na Tanganyika, Wamesomesha na Matunda ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Leo kwa sababu zao za kisiasa na kiuchumi wanahubiri kuvunjwa kwa Muungano wa Zanzibar na Tanganyika.

Maswali ya kujiuliza, kwanini wakuhubiri na kupigania hili wakiwa Wabunge? Kwanini sasa? Nini kimejificha nyuma ya agenda zao?

Kwanini Chama chao kimewatenga kwenye harakati zao?

Vijana wa Kitanzania, Tanzania ni yetu sote, tulinde Muungano kwa wivu mkubwa.

Watoto wetu waje wanufaike na matunda ya Wapigania haki na Uhuru wa Zanzibar na Tanganyika, wanufaike na Matunda ya Muungano, tukatae kuongozwa na hisia za mtu aliye kataa familia yake isiwe sehemu ya Watanzania.

Mwenyezi Mungu ibariki Tanzania
Mwenyezi Mungu mbariki Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Hujaweka namba za simu tukupongeze hata kwa jiti 3
 
90%ya wa Tanganyika wanataka Muungano uvunjike maana ni wa kipumbavu na kijuha ambao kichaa tu anayeweza kuuona mzuri.mzanzibari anaruhusiwa kumiliki mahekari Huku rakini matanganyika haruhusiwi zanzibar.wazanzibari wanateuliwa Huku Tanganyika lakini siyo mtanganyika Kwa Zanzibar mfano makame mbarawa,shaka n.k.umeme tunatozwa Kodi nyingi Huku Tanganyika ili kuwalipia wazanzibar n.k.
 
Kwahiyo unataka kusema Mwalimu J.K. Nyerere alikuwa mbpumbavu? Hakuliona hili? Kamundu, Muungano huu ni salama kabisa, mpaka leo ulipo kuna Watu wameupigania kwa Jasho na Damu
Wameupigania kwa jasho na damu kwa masilahi yao na familia zao si kwa masilahi ya watanganyika. Kama ni kwa masilahi ya watanganyika zipigwe kura za maoni kuhusu muungano hapo ndio tutaenda sawa kama taifa.
 
Usuwe mwongo mwanaccm mwezangu

Lisu wanae kweli wako na uraia kwasababu walizaliwa huko kipindi anafanya kazi huko hilo mosi

Pili, kilaumiwe chama chetu na gvt kutoruhusu uwepo wa uraia pacha

Tatu,lisu kama babayao hao watoto hawezi walazimisha watoto waukane uraia wao mpaka wao wasome nawajiamulie kurudi bongozozo

Kuja ,kuendeleza alipoishia babayao ,ccm inawakati mgumu sana juu ya familia ya Lisu malipo hapahapa Duniani mbinguni ni fantasy
 
Watoto wetu waje wanufaike na matunda ya Wapigania haki na Uhuru wa Zanzibar na Tanganyika, wanufaike na Matunda ya Muungano, tukatae kuongozwa na hisia za mtu aliye kataa familia yake isiwe sehemu ya Watanzania.
Hata wewe mkuu kama unayofanya yanakuruhusu kupeleka mwanao
 
Back
Top Bottom