sawe4u
JF-Expert Member
- Sep 11, 2016
- 973
- 572
Leo naungana na wengine dunia walioumizwa na wanawake ambao waliwahudumia lakini mwisho wa siku waliachwa bila ya kuona Tone la huruma kutoka kwa wenza wao wa zamani.
Nasema haya kwa huzuni kubwa kwani imenibidi nimuache mwanamke ambae nimezaa nae kwa bahati mbaya na nikawa nawahudumia kama sehemu yangu ya familia na nikiwapa umuhimu wote ila baada ya kukuta mwanangu anahudumiwa na baba wa kambo akijua kuwa ni mwanae pamoja na hayo nikamuulza mama mtoto na kudai kuwa mtoto ni wangu ila huyo jamaa nae anahudumia akijua mtoto ni wake.
Kibaya zaidi kuongea na mama mtoto alikuwa tayari kunipoteza mimi kuliko huyo mwanaume mwingine mwenye pesa nyingi kuliko mimi. Iliniuma sana na nimeshindwa kutoa huduma na sitotoa huduma tena hadi pale nitalewa mtoto nikae nae mimi (Kisa jamaa alimpa sapoti sana wakati anasoma)
Nimeumia sana kuona mwanamke anaona bora kuvunja mahusiano yetu kuliko kumpoteza huyo jamaa. Nimeamini hakuna anaeweza kumridhisha mwanamke ambae yeye ajaamua kuridhika na hali fulani ya mwanaume ....