Vyama vichanga vinataka mtu makini bila hivyo vitapoteana na kuyumba kabisa
Mwalimu alikijenga chama tangu 1960 akang’atuka 1990 jumla Miaka 30 akitengezena chama .
Mbowe akigombea Tena bila kupingwa sio tatizo .
Wazungu wametumia zaidi ya miaka 100 kujenga demokrasia imara .
Marekani yenyewe pamoja na kujiita kiongozi wa demokrasia duniani udhaifu wake wa kupiga kura ni mkubwa Mpaka Leo na Hata mfumo wa mahakama za chini una madhaifu kiasi kwamba trump na republicans hawauamini .