Lema: Nikiwa na Wenje, Heche na Msigwa makamu Tundu Lisu alituhakikishia Nafasi atakayogombea Mbowe basi Yeye hatachukua fomu!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
85,000
143,674
Godbless Lema ameandika ukurasani X

Halafu wakitoka hapo wanasema CCM inatoa Fomu Moja

Siasa za Tanzania pasua kichwa sana aiseee

====

Nimeona andiko la BOB Wangwe na maandiko mengine ya watu wengi pamoja na ushauri wake.

Jibu langu kwenu ni hili ,tukiwa Arusha mahali fulani kwenye mazungumzo yetu ambapo nilikuwepo pamoja na Kamanda Wenje, Heche,Msigwa na Mkti F.Mbowe, Mh Lissu aliongea maneno haya “ Nanukuu “ Kaka , Mwenyekiti , ulibeba chupa ya damu nisife wkt nimeshambuliwa kutoka Dodoma ukiwa umesimama kwenye ndege mpaka Nairobi, na ulikaa Nairobi na wenzako hawa muda wote wa matibabu yangu , siwezi kuchukua fomu utakayogusa kwenye Chama hiki,tusiruhusu wapambe watuharibie CHAMA “.

Maneno haya niliyasikia Mimi, Heche, Msigwa, Wenje na Mwenyekiti Mbowe.Hakuna vita kwenye nafasi ya Urais CHADEMA isipokuwa kuna wapambe wajinga na CCM haswa ktk muelekeo wa siasa 2024/2025.

IMG_20240505_174449.jpg
 
Kwa hatua iliyofikia inabidi Lissu akubaliane na hali au ahame chama. Iko wazi kuwa Mbowe kamtumia Lema kufikisha ujumbe kwa Lissu. Na Lema kafanya vizuri sana kutamka kuwa kulikuwa na mashahidi. Godbless Lema kaandika hivi mitandaoni;

Nimeona andiko la BOB Wangwe na maandiko mengine ya watu wengi pamoja na ushauri wake.Jibu langu kwenu ni hili ,tukiwa Arusha mahali fulani kwenye mazungumzo yetu ambapo nilikuwepo pamoja na Kamanda Wenje, Heche,Msigwa na Mkti F.Mbowe, Mh Lissu aliongea maneno haya “ Nanukuu “ Kaka , Mwenyekiti , ulibeba chupa ya damu nisife wkt nimeshambuliwa kutoka Dodoma ukiwa umesimama kwenye ndege mpaka Nairobi,na ulikaa Nairobi na wenzako hawa muda wote wa matibabu yangu , siwezi kuchukua fomu utakayogusa kwenye Chama hiki,tusiruhusu wapambe watuharibie CHAMA “.Maneno haya niliyasikia Mimi, Heche, Msigwa, Wenje na Mwenyekiti Mbowe.Hakuna vita kwenye nafasi ya Urais CHADEMA isipokuwa kuna wapambe wajinga na CCM haswa ktk muelekeo wa siasa 2024/2025.

20240505_155457.jpg
 
Kwa hatua iliyofikia inabidi Lissu akubaliane na hali au ahame chama. Iko wazi kuwa Mbowe kamtumia Lema kufikisha ujumbe kwa Lissu. Na Lema kafanya vizuri sana kutamka kuwa kulikuwa na mashahidi. LISSU ACHA KUIONJA SUMU. Godbless Lema kaandika hivi mitandaoni;

Nimeona andiko la BOB Wangwe na maandiko mengine ya watu wengi pamoja na ushauri wake.Jibu langu kwenu ni hili ,tukiwa Arusha mahali fulani kwenye mazungumzo yetu ambapo nilikuwepo pamoja na Kamanda Wenje, Heche,Msigwa na Mkti F.Mbowe, Mh Lissu aliongea maneno haya “ Nanukuu “ Kaka , Mwenyekiti , ulibeba chupa ya damu nisife wkt nimeshambuliwa kutoka Dodoma ukiwa umesimama kwenye ndege mpaka Nairobi,na ulikaa Nairobi na wenzako hawa muda wote wa matibabu yangu , siwezi kuchukua fomu utakayogusa kwenye Chama hiki,tusiruhusu wapambe watuharibie CHAMA “.Maneno haya niliyasikia Mimi, Heche, Msigwa, Wenje na Mwenyekiti Mbowe.Hakuna vita kwenye nafasi ya Urais CHADEMA isipokuwa kuna wapambe wajinga na CCM haswa ktk muelekeo wa siasa 2024/2025.

View attachment 2981488
Mchaga Lema kashaona amlinde kaka yake mapema,Lissu ondoka huko haraka sana
 
Lema kazingua sana, hapo ni kwamba anamkumbusha Lissu ahadi yake wala sio kujibu hoja za Bob Wangwe na wenziwe kama anavyodai.

Siasa za fadhila ndizo tunazozipiga vita kila wakati, zikitumika kutoa vyeo isivyo kihalali. Leo hii nao wanakumbushana fadhila, ujinga mtupu.
 
Back
Top Bottom