kelvinvevo
Member
- Sep 12, 2021
- 80
- 312
Nimegundua mahusiano yako very risky kidogo kwa mwanaume asipokua makini.
Kwa sababu unaweza ukapata mwanamke ukampenda na kujitoa kwa kile chochote ulichokuwa nacho kwa ajili yake lakini ikitokea misunderstanding yoyote mpaka kuachana wanaume wanaambulia matusi, maneno machafu na kejeli.
kiufupi inakua loss na hela zako, muda wako na effort zako zote zinaenda bure.
Hakika wanaume tumeumbiwa mateso.