Kweli mapenzi yananenepesha

yaani mapenzi ni kama aliyebebwa na kurushwa juuuuuuuu kama mtoto,

huwa unapata raha sana ukiwa katika hiyo hali, ila omba sana Mungu huyo anayekurusha akudake asikuache uanguke.

sababu kadri unavyozidi kupata raha kwenye mapenzi ndivyo utakavyoumia sana mkiachana

Mola anitunzie mamsapu wangu😍😍😍
Jitahidi kesho umtoe 'out' angalau apate ka waini kidogo na kiti-fire sio mbaya.
 
wee, mie ni mke ndoa naiheshimiwe babu baridi hili na hizi mvua, ndani unavyakula, unaomba uzima uamke lakini show show yan kaz moja tu kupeana joto bila kutuma ya kutolea wala kutafta sabuni uoge janaba la bure
Nakuona unavyoturingishia :AlizeePLS::AlizeePLS:
 
Tangu nilivyoanza kumpenda huyu mlimbwende wangu, ndani ya siku saba amenawili, anatabasamu zuri, ananukia vizuri, muda wote amekuwa na furaha anionapo mimi.

Leo marafiki zake wakaribu wakamuuliza, mbona mwenzetu unanawili tu na unapendeza? Akashindwa kuwajibu.

Sasa mida hii ndio tunapiga stori, ndio ananisimulia yaliyojiri huko mtaa wa pili; nami nikwamabia, kweli unapendeza na unavutia.

Akasema tangu nimekuwa na wewe sina mawazo tena, kwa nini nisipendeze?

Hapa nilipo, nimemkumbatia yuko kifuani kwangu; ukichangia na hii mvua inayonyesha! dah wananzengo msinionee wivu; pambaneni kutafuta wa kwenu.​
Anha, mna wiki moja, shida n kuwa umeshatumia 50% ya siku zenu za furaha... Sjui itakuaje sasa🤔
 
Back
Top Bottom