Kwanini wakimbizi walioingia nchini kinyemela, wote waonekana kuwa na akili kubwa hakuna mapoyoyo

dr namugari

JF-Expert Member
Nov 19, 2022
9,670
16,357
Nilikuwa nasoma uzi wa Furtunatus Boyombe kuhusu idadi kubwa ya wahamiaji haramu ambao wako serikalini kwa idadi kubwa wote Wana akili kubwa kubwa mno

Mfano wengi unaawakuta wako BOT
UDSM
SUA
IFM
TRA
UHAMIAJI
WAJUMBE WA BODI
TARURA
TAKUKURU
JWTZ

Kwa kifupi Ni hivi, wote hakuna hata mwalimu wa secondary wote ni ma senior kwemy taasisi nyeti ya nchi hii

Leo amejadili mtu anaitwa prof Shem Martin ndabikunze
Seti kamanzi

Prof Shem Martin aliwahi kuwa mhadhiri wa SUA na Kisha kuteuliwa kushika nafsi nyeti sana na baadae nchi ya Rwanda ikamteuwa kuwa mkuu mkugenzi mkuu wa bodi ya kilimo ya Rwanda.

Kwa kifupi wengi walioko nchini kinyemela Ni wanyarwanda

Embu sogelea telegram yake ukajione tunavyofundishwa na wanyarwanda
 
Hao wote hawakuwa watanzania Bali Ni wanyarwanda
 

Attachments

  • IMG_20240503_210753.jpg
    IMG_20240503_210753.jpg
    6.6 KB · Views: 3
  • IMG_20240503_210942.jpg
    IMG_20240503_210942.jpg
    6.3 KB · Views: 2
  • Screenshot_20240503-211508.png
    Screenshot_20240503-211508.png
    168 KB · Views: 2
  • IMG_20240503_210913.jpg
    IMG_20240503_210913.jpg
    86.4 KB · Views: 2
Hao wote serikali ilikuwa na taarifa zao msifikiri walikuwa hawajulikani, ebu chukua mfano wa Mzee Kabila amekuja nchini miaka ya 70's na akawa anafanya shughuli zake na akawahi hadi kuwa na bucha ya samaki na kijana wake Joseph akaenda hadi jkt lakini serikali ilifahamu hao ni kina nani.
 
Mheshimiwa Rais sijui analichukuliaje hili suala Mzee Kikwete Ali take action tukawa shwari ila hawamu ya mwendazake ndio yalishamiri ikafika hatua ya kuleta wataalam wa IT toka Kigali na kupeleka treni ya umeme kabisa tena tukawa tunaharakishwa mambo yasichelewe.
 
Hao wote serikali ilikuwa na taarifa zao msifikiri walikuwa hawajulikani, ebu chukua mfano wa Mzee Kabila amekuja nchini miaka ya 70's na akawa anafanya shughuli zake na akawahi hadi kuwa na bucha ya samaki na kijana wake Joseph akaenda hadi jkt lakini serikali ilifahamu hao ni kina nani.
Hiz hbr umetoa wapi bwan mdg thibitisha bila kuacha ukizo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom