Kwanini ugonjwa wa Ebola huwa hauvuki mpaka wa DRC kuingia nchini?

No, umeelewa vibaya!!

Nataka nijue ulinzi nilionao Kwa faida ya vizazi vijavyo,

Maana wengine hudhani jambo hili ni Bahati mbaya,

Na wapo wengi wanaodhani Nchi hii ni mchezo mchezo,

Nia ni kuinua UZALENDO, watu waipende, wailinde na kuithamini Nchi Yao.

Nia ni njema ndugu!!
Nanukuu:
"Nia ni kuinua UZALENDO, watu waipende, wailinde na kuithamini Nchi Yao.

Nia ni njema ndugu!!"

Nia zingine bhana; a'a' zinaweza kuleta za kuleta.
 
Nanukuu:
"Nia ni kuinua UZALENDO, watu waipende, wailinde na kuithamini Nchi Yao.

Nia ni njema ndugu!!"

Nia zingine bhana; a'a' zinaweza kuleta za kuleta.
Nia ni njema,

Mfano, mzazi wako alikusimulia uliyoyapitia katika umri wa miaka 2 kurudi nyuma,

Utamthamini zaidi mama na baba Yako kuliko unavyowachukulia sasa.
 
Kawaonye kwanza wale wote wanaotaka mwenge uzimwe,una kazi kubwa sana ikiwemo kuwamulika maadui na kuwadhibiti
 
Kawaonye kwanza wale wote wanaotaka mwenge uzimwe,una kazi kubwa sana ikiwemo kuwamulika maadui na kuwadhibiti
Hili Taifa linalindwa na Mungu.

Mwenge hauhusiki na KAZI hiyo zaidi ya kuwazubaisha watu wasidai HAKI zao.

Nchi hii tunahitaji kupata vyama vikuu viwili au vitatu IMARA vitakavyobadilishana uongozi Kila baada ya miaka 10 Ili tuongeze Kasi ya maendeleo.

Upinzani wa HOJA wenye kujenga, ni muhimu sana.
 
Ndio nataka kujua japo Kwa uchache jinsi tulivyo Imara Ili nimshukuru zaidi Mungu Kwa kuniweka katika pande hili la ardhi lililobarikiwa sana!!
Ashukuriwe mama Samia kwa kuajiri surveillance officers wazuri kwenye mipaka yetu... Nenda kwenye border posts zote Kuna vifaa vya kisasa vya kung'amua magonjwa ukipita tu kwenye scanner kuna alarm inapiga kama una homa. Aidha mipaka isiyo rasmi ufuatiliaji unafanyika siku zote na masaa yote
 
Unazijua njia za panya wewe?
 
Nipende pia kukujulisha hata kama ugonjwa ukiingia nchini ni rahisi sana kuugundua na pia kuu-manage sababu nchi yetu ina mifumo mizuri sana ya uendeshaji wa huduma za afya. Huwa tuna-take for granted lakini TZ ni kati ya nchi duniani ina mifumo mizuri sana ya uendeshaji wa huduma za afya including disease surveillance
 
Back
Top Bottom