Kwanini tusiwe tunajenga barabara za zege tu badala ya za lami?

Lycaon pictus

JF-Expert Member
Jan 31, 2021
7,445
13,133
Inadaiwa kuwa barabara za zege ni imara na zinadumu kwa muda mrefu kuliko za lami. Japo wanasema ni gharama kujenga lakini nchi kama yetu inaweza kuzijenga kwa kutumia malighafi zote kutoka ndani ukilinganisha na zile za lami.

Kwa hiyo inawezekana kwetu zikawa na bei rahisi kuliko za lami. Barabara za zege unaweza kujenga kwa nondo au hata bila nondo. Hizi zingetufaa sana kwenye barabara za mitaa kwenye miji yetu. Hata kampuni ndogo ndogo za ujenzi zingeweza kufanya ujenzi huu.

Kwa nini tusiachane na barabara za lami na kuanza kujenga za zege tu?

DSCN0006.jpg
0000340850_resized_raytoncomplete1022.jpg
0000340852_resized_raytonutrcpconstruction1022.jpg
0000340854_resized_soshanguveroad36111022.jpg
images (1).jpeg
concreteroadway.jpg
Continuously-Reinforced-Concrete-Pavement.jpg
 
Inadaiwa kuwa barabara za zege ni imara na zinadumu kwa muda mrefu kuliko za lami. Japo wanasema ni gharama kujenga lakini nchi kama yetu inaweza kuzijenga kwa kutumia malighafi zote kutoka ndani ukilinganisha na zile za lami. Kwa hiyo inawezekana kwetu zikawa na bei rahisi kuliko za lami. Barabara za zege unaweza kujenga kwa nondo au hata bila nondo. Hizi zingetufaa sana kwenye barabara za mitaa kwenye miji yetu. Hata kampuni ndogo ndogo za ujenzi zingeweza kufanya ujenzi huu.

Kwa nini tusiachane na barabara za lami na kuanza kujenga za zege tu?

View attachment 2875303View attachment 2875302View attachment 2875301View attachment 2875300View attachment 2875299View attachment 2875304View attachment 2875305

ni gharama sana hizi hivo hujengwa kwa umbali mfupi
 
Barabara za zege ni imara na durable but very expensive. Nashauri serikali ijenge zege maeneo ya mjini yaanj katikati ya miji.
Sio kweli barabara za zege ni nafuu sana kulinganisha na barabara ya lami
.
Nondo
Mchanga
Cement

Kipi kina gharama hapo kulinganisha na lami kuanzia kuinunua kutoka nje , kuisafirisha, kuiweka sehemu ya joto mda wote na kuichanganya na kokoto

Alafu hiyo barabara yenyewe Baada ya miaka 3 yanaanza mashimo ikifika miaka 10 ibomoleww na kuweka lami mpya
 
Hili swali aliwahi kuulizwa bosi wa TANROADS kuwa kama ujenzi wa barabara za zege ni nafuu, kwanini zisijengwe hizo badala ya lami! Alijibu kwamba ni kweli gharama ni nafuu ila wanazijenga zaidi sehemu korofi zenye majimaji chini.

Akasema changamoto za hizi barabara ni kukosa 'smoothness' na 'comfortability' yake ni mbaya tofauti lami iliyonyooka. Ukiendesha gari inakuwa inadundadunda.
 
Ndio ni kweli Zinadunda dunda kutokana na Expansion Joint
 
Hili swali aliwahi kuulizwa bosi wa TANROADS kuwa kama ujenzi wa barabara za zege ni nafuu, kwanini zisijengwe hizo badala ya lami! Alijibu kwamba ni kweli gharama ni nafuu ila wanazijenga zaidi sehemu korofi zenye majimaji chini.

Akasema changamoto za hizi barabara ni kukosa 'smoothness' na 'comfortability' yake ni mbaya tofauti lami iliyonyooka. Ukiendesha gari inakuwa inadundadunda.
Kuliko kudunda kwenye mashimo ni bora kudunda kwenye zege. Zingetufaa sana kwa barabara za mitaani.
 
Hiii Barabara sio kama hazijengwi kabisa za aina hiii,
Zipo Tanzania ila kwa uchache,Mimi nimewahi kutana na kipande Cha barabara zaidi ya km 15 cha zege tupu iringa!
Pia Moro nimewahi ikuta
 
Back
Top Bottom