Kwanini serikali haifanyi uchunguzi na kuchukua hatua dhidi ya mila hizi potofu?

Blender

JF-Expert Member
Mar 5, 2022
3,594
5,652
Yah habar ndio hio, wakati Dunia ikizidi kusonga mbele Kwa science na technology, tz 🇹🇿 Hali ni tofauti kabisa , Wao wanarudi zama za mawe (stone Age).

Hii habari ime reportwa shinyanga mwaka 2023 July na BBC Swahili, Lakin hatukusikia tamko la serikali, la kufanya uchunguzi AU Hata kukemea ukweli ni Kwamba wanao husika na huu mtandao ni viongozi wa serikali.

Shinyanga ni mkoa wenye wakimbizi wengi wamejichanganya humo, kuna matukio ya ukatili Yana tokea mkoani humo, pia kuna biashara haramu za silaha bado zinaendelea, pia huu mkoa unaongoza Kwa wananchi wake kuliwa na fisi Kuliko sehemu yoyote tz japo huo mkoa hakuna mbuga ya Wanyama Hata 1, Je hawa fisi wanatoka wapi?.

Pia ukiangalia wabunge walio chaguliwa tokea huo mkoa wote ni à Tu yani hawana akili ya kuwatatulia wananchi Kero, swali walichaguliwa Je kuwa wabunge?.

Uchunguzi ndio huo ushakaribia tz 🇹🇿, hatutacha ona kila Aina ya vituko.

Ni ukweli usio pingika kuwa siasa za tz, Zina ipeleka nchi kubaya na hasa CCM, coz hawa CCM linapofika swala la Madaraka huwa ni watu hatari Sana.

Viongozi wa CCM hufanya kila Aina ya hila ili kuendelea kubaki kwenye nafasi zao.

Hii kitu SS tumeifwatilia Kwa umakini Sana, na tume baidi viongozi wa CCM hasa madiwani ndio wanaofanya hii biashara ya kuuza vivyesi vya watoto wenye ualibno. Kwa matumizi yao binafsi na Kwa wakubwa Wao walioko juu.

Kuna diwani anaitwa Rashid matesa kutoka Morogoro mjini kata ya uwanja wa taifa, mwaka Jana 2023 kuanzia mwezi March mpaka June alikuwa na mfanyakazi wa ndani wa kike mwenye uaAlbino,umri usio Zaidi miaka 14, huyu ni mtoto alitakiwa kuwa shule kabisa. Lakini akawa mfanya Kazi wake wa ndani, baada ya BBC Swahili Ku report tukio la shinyanga, huyu binti akarudishwa kwao Moro vijijini, mbunge Abood hili swala najua unalifahamu fika.

Pia bado tunaenda na uchunguzi ata hapa DSM watoto wenye ualibno, wamefungiwa ndani kwa watu matajiri , Kwamba watawasomesha.

Kwa Kweli inasikitisha Sana kuona vyombo husika vya serikali, like police, takukuru, kutokufanya uchunguzi kamili na kuja na report sahihi.

Embe fikiria , BBC Swahili wanatoa report ya shinyanga, husikii vyombo vya serikali vikisema lolote, Je hawajui kinacho Endelea, ukweli Wao Ndio wahusika wakuu.

NB: Kinyesi kinacho takiwa ni cha Albino mtoto, Kadri anavyo Zidi kuwa na umri mdogo ndio, thamani ya kinyesi chake kinapanda thamani Zaidi kwenye soko. Source BBC Swahili

 
Hata hapa DSM baadhi ya wafanya biashara wamewaficha watoto wenye ualibno, Kwa kisingizio kuwa watawasomesha, kumbe wanachukua kucha ,nywele,kinyesi cha haja kubwa
 
Kama ni kinyesi wapewe tu maana binadamu lazima anye hata kama ni albino. Watoe tu maelekezo kwa wazazi kuhusu vifungashio bora wasituletee kipindu pindu.
Mkuu huu ni unyanyasaji .
M@vi hayaleti pesa
 
Mkuu huu ni unyanyasaji .
M@vi hayaleti pesa
Wapewe tu mkuu. Tena wanaoamini inaleta pesa wangepewa na sehemu ya kuyahifadhi kabisa vyumbani kwao wawe wanachota tu wanapeleka wanapojua wao.
 
Back
Top Bottom