Kwanini idadi ya wanafunzi wanaofeli katika mitihani yao ya fani inazidi kuongezeka?

Kiranja wa jamii

JF-Expert Member
Jan 2, 2023
244
590
Kumekuwa na ongezeko la ufaulu wa wanafunzi wanaohitimu kidato cha nne na cha sita mwaka hadi mwaka na serikali imekuwa ikipongezwa kwa kuongeza ufaulu mwaka hadi mwaka

Hata hivyo hali imeguaka kuwa tofauti huku vyuoni na hii inajidhihirisha kwa hizi kada ambazo zinasimamiwa na "bodi" mahususi kama vile famasia, sheria, Madaktari nakadhalika

Katika mitihani yao wanafunzi wengi wanafeli na wanaofaulu ni wachache. Kwa mfano hivi karibuni katika mitihani ya famasia wanafunzi 184 walifeli mitihani kati ya wanafunzi 200 ikiwa na maana waliofaulu ni wanafunzi sita

Pengine hata katika fani nyingine ambazo matokeo hutengemea mitihani ya UE tu hali ni hii hii tu ila walimu wao wanafunika kombe tu ili mambo yaende

Shida ni nini?

Wanafunzi hawasomi?
Walimu hawatoshi?
Walimu hawana ubora?
Wanafunzi hawaandaliwi vizuri huku chini?
Ufaulu huku chini unalazimishwa tu kuongeza ufaulu?
View attachment 2993147
 
Kuna scenario mbili ambazo huwa hazikubaliki. Watahiniwa wote kushindwa au watahiniwa wote kushinda. Mengine ni kawaida katika masomo
 
Back
Top Bottom