Kwanini CCM imejimilikisha viwanja ambavyo vilijengwa na wananchi wakati wa mfumo wa chama kimoja?

Mzee wa Twitter

JF-Expert Member
Nov 5, 2023
1,384
2,169
Wadau nimekuwa nazifuatia mali za CCM wakati wa mfumo wa chama kimoja cha siasa ilikuwa wananchi wote bila kujali ni mwanachama wa CCM au huna chama ni lazima uchangie Maendeleo.

Wakati wa ujenzi wa viwanja vya Sokoine Mbeya, Nelson Mandela Sumbawanga, Uwanja wa Kirumba Jijini Mwanza na sehemu nyingine wananchi walichangishwa fedha mazao, mifugo na nguvu zao ili kujenga viwanja hiyo na waliokaidi walichukuliwa hatua.

Baada ya Mfumo wa Vyama vingi kuingia CCM ilijimilikisha viwanja hivyo wakati hatukuwahi kusoma bango lolote la ujenzi wa viwanja hivyo na CCM haikuwahi kuvijenga Viwanja hivyo.

Swali kwa CCM, kwanini Uwanja wa Taifa wa Uhuru Dar haijajimilikisha wakati nao ulijengwa wakati wa Mfumo wa Chama Kimoja?

Ushauri kwa CCM
CCM ivirudishe viwanja ilivyojimilikisha serikalini kwani vilijengwa na wananchi sio Wana CCM na kama CCM inataka kumiliki viwanja ijitafutie maeneo, ipime kisha kwani kati ya Vyama vinavyopata ruzuku kubwa CCM inaongoza hivyo haiwezi kushindwa kujenga.

Endapo viwanja vilivyoporwa na CCM vikiwa vya Serikali vitatumiwa na wananchi wote tofauti na sasa kwani Mapato yake yatakuwa ya serikali badala yakuchukuliwa na CCM wakati haikuvijenga bali ilivipora.

CCM na vyama vingine vijenge viwanja vyao kwa kutumia Ruzuku zao.
 
Wadau nimekuwa nazifuatia Mali za CCM.Wakati wa Mfumo wa Chama kimoja cha SIASA ilikuwa WANANCHI wote bila kujali ni mwanachama wa CCM au Huna chama ni LAZIMA uchangie Maendeleo.Wakati wa Ujenzi wa Viwanja vya SOKOINE Mbeya,Nelson Mandela Sumbawanga ,Uwanja wa Kirumba Jijini Mwanza na sehemu nyingine Wananchi Walichangishwa Fedha Mazao Mifugo na Nguvu zao ili kujenga Viwanja hiyo.Na waliokaidi walichukuliwa hatua.
Baada ya Mfumo wa Vyama vingi kuingia CCM ILIJIMIKISHA Viwanja hivyo Wakati hatukuwahi KUSOMA BANGO lolote la UJENZI wa VIWANJA hivyo na CCM haikuwahi KUVIJENGA Viwanja hivyo.SWALI kwa CCM KWANINI UWANJA wa TAIFA wa UHURU Dsm HAIJAJIMILIKISHA wakati nao ULIJENGWA wakati wa Mfumo wa CHAMA KIMOJA?
USHAURI kwa CCM
CCM ivirudishe VIWANJA ILIVYOJIMILIKISHA SERIKALINI kwani vilijengwa na WANANCHI sio Wanaccm na Kama CCM inataka kumiliki VIWANJA ijitafutie MAENEO IPIME kisha kwani Kati ya Vyama vinavyopata RUZUKU KUBWA CCM inaongoza hivyo haiwezi kushindwa kujenga.
Endapo VIWANJA vilivyoporwa na CCM vikiwa vya Serikali vitatumiwa na Wananchi wote tofauti na sasa kwani MAPATO yake yatakuwa ya SERIKALI badala yakuchukuliwa na CCM wakati HAIKUVIJENGA bali ilivipora.
CCM na VYAMA VINGINE vijenge VIWANJA vyao kwa kutumia RUZUKU zao.
Ulichokisema ndicho hicho hicho nilichonacho MIMI.

CCM WARUDISHE VIWANJA WALIVYOPORA
 
ALAFU SASA,CHA AJABU VIWANJA VYOTE VYA WAZI WANAVIUZA au KUVIKODISHA KWA WATU WAO KWA MATUMIZI YA KIBIASHARA
WATOTO SAHV HAWANA SEHEMU ZA KUCHEZA KABISA

OVA
 
Wadau nimekuwa nazifuatia Mali za CCM.Wakati wa Mfumo wa Chama kimoja cha SIASA ilikuwa WANANCHI wote bila kujali ni mwanachama wa CCM au Huna chama ni LAZIMA uchangie Maendeleo.Wakati wa Ujenzi wa Viwanja vya SOKOINE Mbeya,Nelson Mandela Sumbawanga ,Uwanja wa Kirumba Jijini Mwanza na sehemu nyingine Wananchi Walichangishwa Fedha Mazao Mifugo na Nguvu zao ili kujenga Viwanja hiyo.Na waliokaidi walichukuliwa hatua.
Baada ya Mfumo wa Vyama vingi kuingia CCM ILIJIMIKISHA Viwanja hivyo Wakati hatukuwahi KUSOMA BANGO lolote la UJENZI wa VIWANJA hivyo na CCM haikuwahi KUVIJENGA Viwanja hivyo.SWALI kwa CCM KWANINI UWANJA wa TAIFA wa UHURU Dsm HAIJAJIMILIKISHA wakati nao ULIJENGWA wakati wa Mfumo wa CHAMA KIMOJA?
USHAURI kwa CCM
CCM ivirudishe VIWANJA ILIVYOJIMILIKISHA SERIKALINI kwani vilijengwa na WANANCHI sio Wanaccm na Kama CCM inataka kumiliki VIWANJA ijitafutie MAENEO IPIME kisha kwani Kati ya Vyama vinavyopata RUZUKU KUBWA CCM inaongoza hivyo haiwezi kushindwa kujenga.
Endapo VIWANJA vilivyoporwa na CCM vikiwa vya Serikali vitatumiwa na Wananchi wote tofauti na sasa kwani MAPATO yake yatakuwa ya SERIKALI badala yakuchukuliwa na CCM wakati HAIKUVIJENGA bali ilivipora.
CCM na VYAMA VINGINE vijenge VIWANJA vyao kwa kutumia RUZUKU zao.
Imetumia mwanya wa watanzania kutodai haki zao na kuwa waoga kupitiliza. Haitarudisha hivyo viwanja kamwe bila wananchi kuvirudisha kwa nguvu au chama kingine kuingia madarakani.
 
Wadau nimekuwa nazifuatia Mali za CCM.Wakati wa Mfumo wa Chama kimoja cha SIASA ilikuwa WANANCHI wote bila kujali ni mwanachama wa CCM au Huna chama ni LAZIMA uchangie Maendeleo.Wakati wa Ujenzi wa Viwanja vya SOKOINE Mbeya,Nelson Mandela Sumbawanga ,Uwanja wa Kirumba Jijini Mwanza na sehemu nyingine Wananchi Walichangishwa Fedha Mazao Mifugo na Nguvu zao ili kujenga Viwanja hiyo.Na waliokaidi walichukuliwa hatua.
Baada ya Mfumo wa Vyama vingi kuingia CCM ILIJIMIKISHA Viwanja hivyo Wakati hatukuwahi KUSOMA BANGO lolote la UJENZI wa VIWANJA hivyo na CCM haikuwahi KUVIJENGA Viwanja hivyo.SWALI kwa CCM KWANINI UWANJA wa TAIFA wa UHURU Dsm HAIJAJIMILIKISHA wakati nao ULIJENGWA wakati wa Mfumo wa CHAMA KIMOJA?
USHAURI kwa CCM
CCM ivirudishe VIWANJA ILIVYOJIMILIKISHA SERIKALINI kwani vilijengwa na WANANCHI sio Wanaccm na Kama CCM inataka kumiliki VIWANJA ijitafutie MAENEO IPIME kisha kwani Kati ya Vyama vinavyopata RUZUKU KUBWA CCM inaongoza hivyo haiwezi kushindwa kujenga.
Endapo VIWANJA vilivyoporwa na CCM vikiwa vya Serikali vitatumiwa na Wananchi wote tofauti na sasa kwani MAPATO yake yatakuwa ya SERIKALI badala yakuchukuliwa na CCM wakati HAIKUVIJENGA bali ilivipora.
CCM na VYAMA VINGINE vijenge VIWANJA vyao kwa kutumia RUZUKU zao.
Uwanja wa Sheikh Amri Abeid Kaluta, Arusha ulijengwa na askari Jeshi wa Kiingereza Colonel Middleton akuachia waasia iliyokuwa Arusha Town Council sasa imekuwaje CCM Sheikh Amri Abeid Kaluta ni wizi na ujambazi mtupu.
 
Nimesema kesi haitafika popote! uvuke mipaka na hata uende mpaka sayari ya Mars! Huniamini? Kafungue basi.
Kuna wajinga huko ujerumani waliaminishwa kuwa hakuna wa kumshinda Hitler. Leo hii Hitler kabaki historia tu.

Kuna wajinga hapa bongo wanaamini kuwa ccm itatawala milele wala hakuna wa kuitikisa.

Uliposema tu kuwa kesi yoyote itakayofunguliwa dhidi ya ccm haitofika popote hata wafungua kesi wakivuka mpaka, nikajua hakika u miongoni mwao wajinga waaminio kuwa ccm itatawala milele.

Jitahidi uachane ujinga ndugu.
 
Mimi siyo mjinga na ndiyo maana sitaki kujidanganya. Maelezo yangu yote sijasema kuwa CCM itatawa milele. Kinyume chake, mimi ndiyo mpinzani mkubwa wa ujinga wa kusema CCM itatawa milele. Nimesema kesi haitaenda popote, na nina mifano luluki. Tuondoe kwanza CCM.
 
Back
Top Bottom