Kwaherini wazee wa kataa ndoa, kwaherini mashangazi

Witch hunter

JF-Expert Member
Nov 21, 2018
1,429
3,313
Nimetembea na wake za watu sana, kwa uozo nilioushuhudia niliapa kabisaa sintakuja kuoa ila leo nimetengua kauli yangu, jamani mapenzi matamu asikwambie mtu, duh! Nimempata binti, mtoto mdogo mdogo wa 2000 duh! Mi ni nani? Wacha nioe tu. Kwaherini kataaa ndoa, kwaherini mashangazi nashukuru kwa huduma yenu. Vijana nawashauri muoe acheni kudanganyana JF, mtapoteza mda buree, utashtuka kumekucha.:p:p

Soon ntawatumia picha za harusi, “na kapicha kako nitakaposti… tintilii… tintiliii… wasokupenda itawacost… tintiliii… tintiliii” 💌💌💌

Kakiitaka sukari, nitakajazia pipa
Kakiitaka asari, nitakapa katanipa
Kwa kuilamba Hodari, taratibu pila pupa
Hakatotia dosari, kalivyonipa kuwapa

Wacha tu nikatungie mashairi, alaaaaa mi ndo King suleiman wa Bongo bn. Wenye wivu wote mnaalikwa harusini.:NyanLove::NyanLove::NyanLove::NyanLove::NyanLove::LoveBlush::LoveBlush::LoveBlush:
 
Nimetembea na wake za watu sana, kwa uozo nilioushuhudia niliapa kabisaa sintakuja kuoa ila leo nimetengua kauli yangu, jamani mapenzi matamu asikwambie mtu, duh! Nimempata binti, mtoto mdogo mdogo wa 2000 duh! Mi ni nani? Wacha nioe tu. Kwaherini kataaa ndoa, kwaherini mashangazi nashukuru kwa huduma yenu. Vijana nawashauri muoe acheni kudanganyana JF, mtapoteza mda buree, utashtuka kumekucha.:p:p

Soon ntawatumia picha za harusi, “na kapicha kako nitakaposti… tintilii… tintiliii… wasokupenda itawacost… tintiliii… tintiliii” 💌💌💌

Kakiitaka sukari, nitakajazia pipa
Kakiitaka asari, nitakapa katanipa
Kwa kuilamba Hodari, taratibu pila pupa
Hakatotia dosari, kalivyonipa kuwapa

Wacha tu nikatungie mashairi, alaaaaa mi ndo King suleiman wa Bongo bn. Wenye wivu wote mnaalikwa harusini.:NyanLove::NyanLove::NyanLove::NyanLove::NyanLove::LoveBlush:
Utoboe uende wapi!? Hakuna mahali penye unaenda
 
Back
Top Bottom