Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Kaka lobbyist ya kitambo...em cheki gem ya mkali Shin Jung Tae ya kuitwa INSPIRING GENERATION....humo baba...kila siku jamaa akipanga kutoka na mchumba...lazma apigane njiani...hahah...
 
Huyu mzee anaitwa "Ahn Suk-hwan"

Namuelewa saana...Yan katka K-dramas...huyu ndo bonge la Comedian wangu....kiasi kwamba aki'act part ya kuwa'serious naonaga haimnogei....alaf anapga shoo muvi nying sana...mm nimemkuta katka...
-BRIDAL MASK
-THE SLAVE HUNTERS
-BOYS OVER FLOWER
-PERSONAL TASTE
-JOSEON GUNMAN...

Kama umekutana nae katka muv ambayo kaigiza kama comedian lazma umpende yan....hahah...big up sana mzee Ahn Suk-hwan!!
 

Attachments

  • 1427131567206.jpg
    1427131567206.jpg
    9.8 KB · Views: 1,497
Tatzo umeishia form two...hlo la kwanza...la pili....wanaoangalia hzi tamthilia...wanakugongea demu wako...tatu....ww ch*oko tu....usiyejua maana na kuleta usela wa kuiga....usifuate mkumbo broo....utaliwa hcho kikalio chako...
 
Back
Top Bottom