Anthony horowitz
Member
- May 4, 2024
- 89
- 188
FEED THEM WITH FEAR, THEN EAT THEM.!
Unajitahidi sana usizungumzie maswala ya siasa na imani za watu lakini unasikia viongozi wako wawakilishi wanaongea utopolo kabisa.
Unajitahidi usiingilie maswala ya imani na dini za watu, mara unasikia viongozi wa dini wenyewe wanaruhusu mapenzi ya jinsia moja ambayo yamekatazwa kwenye vitabu vyao vya Imani. Kumbe ni PROPAGANDA.!
Unajitahidi usiingilie masuala ya siasa na vyama vya watu maana hauko vizuri kwenye intelijensia, sheria na maswala ya haki, huku na huko unasikia kuna kiongozi mmoja Standard 7 failure matako yanalia mbwata baada ya kujipata kumbe nyuma yake anasimamiwa na PROPAGANDA.
Propagandist wa hii nchi siku hizi wamekuja na hii slogan waliotumia Wamisionari kuwateka mababu zetu kipindi cha ukoloni kwa kuwatishia na moto wa milele, adhabu ya viboko na hukumu ya mwisho wa Dunia na uongo, uongo mwingine mwingi.
Mtu unapigwa na tamko la kukutia woga na ukijaa tu, Umekwisha.!
Propagandist wameanza kuteka watu kwa visa mbalimbali ikiwemo ile ya yule bodaboda muuza madafu kuwa Usalama wa Taifa, sasa naona wanakuja kwenye elimu baada ya kuwashindwa waTanzania kwenye Afya.
Sasa kuna hilo tamko la mzee Petro Getere, Mbunge wa Bunda Vijijini, baada ya kushiba zake posho za kutosha kwa kodi za wakulima matako yamemlia mbwata.
Wafuatiliaji wa mambo ya siasa wanajua kuwa Mbunge Tanzania analipwa
1: Mshahara + Posho: M18 kwa mwezi
2: Posho ya kujikimu : 120,000 kwa siku
3: Posho ya Kikao: 220,000 kwa siku
4: Mkopo wa Gari: M90 kwa miaka 5
5: Kiinua mgongo: M272 kwa miaka 5
6: Bima ya Afya kwa Familia bure
7: Posho za semina na Vikao vya kamati..
8: Mfuko wa jimbo na Passport bure na mengine mengi yasiyo rasmi.
Sasa unakaa unajiuliza....
Hawa wazee wanaokuja na kauli za kuonea wivu boom la milioni 2 kwa mwaka la mkopo kwa mtoto wa mkulima mmoja wana akili kweli.!?
Hela ambayo baada ya matumizi itarudishwa, maana inatolewa kwa mkopo sio Bure, mzee mwenye milioni 270+ baada ya miaka mitano tu ya utumishi yeye inamuuma nini.!?
Anasema anayajua maisha ya chuo na wakati hajasoma.!? Au elimu yake inayoonekana kwenye CV ya ubunge ambayo ni Darasa la Saba ni uongo.!?
Mwisho wa siku unagundua wazee tulionao ni "Wazee wa Hovyo" wanaoongozwa na Propaganda tu. Nchi ya wajinga.!
Alafu kuna wasomi kadhaa wapo mjengoni pale Dodoma wanagonga meza kwa kauli ya kupumbavu kabisa kutoka kwa wazee wa namna hii, Hovyo kabisa.!
Pia soma Mbunge Getere: Boom lifutwe, wanafunzi wanatumia kulewea