Kwa mnaokuja Dar hakikisheni mnaweza kuogelea au ni wanamazoezi

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Feb 24, 2012
5,033
9,918
Angalia hii video wadau wakijaribu kujiokoa kutoka kwenye mafuriko. Mmoja katumia kamba vizuri kujiokoa mwingine anapata tabu sana.

Nasisitiza kama una safari ya Dar fanya mazoezi ya kuogelea. Kama upo Dar na haujui kuogelea nitafute.
 
Hapa Dar wengine wapungue, hasa wanaume wasio na hela mafuriko yawachukue tu
 
Angalia hii video wadau wakijaribu kujiokoa kutoka kwenye mafuriko. Mmoja katumia kamba vizuri kujiokoa mwingine anapata tabu sana.

Nasisitiza kama una safari ya Dar fanya mazoezi ya kuogelea. Kama upo Dar na haujui kuogelea nitafute.
View attachment 2972987
Aliyevuka = Tafsiri halisi ya Wanaume wa mikoani.

Asiyevuka = Tafsiri halisi ya Wanaume wa Dar "Wavulana"

Ubinadamu ni kazi/Humanity is a work.
 
April 2024 Dubai dunia ya kwanza kimaendeleo pamekumbwa na mafuriko pia, napo hapafai kuishi?

Ubinadamu ni kazi/Humanity is a work.
Ya Dubai na nchi kama zetu zenye lindi la umasikini na miundombinu hafifu ni tofauti

Unalinganisha Dubai na Dar 🙆
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom