Kwa Mfanyabiashara Anaeweza Kuzalisha 1m kwa Mtaji wa 5m kwa wiki

mh kuna watu ni wajinga na kwa ujinga wao kutoka inakua ngumu.....

yaani uje na ki 5m chako kwenye biashara yangu iliyosimama nikuelekeze tufanye wote alafu tugawane faida 🤣🤣🤣🤣🤣 haya tunaitaga mawazo chupi achilia mbali kuhusu faida ya 1m kwa wiki ambayo hutaipata na tunapima uwezo wa mtu kwenye mawazo yake.....

nikushauri tu tafuta bhange uuze na uvute itakusaidia maishani
Mwenyewe nimeshangaa, mana ndani ya hio week kama sharp anakuwa kasoma mchezo wote, kiasi anaweza kucopy chap akakulaza na viatu 😂😂 jamaa anataka kuiba idea kirahisi sanaa
Halafu kama naweza tengeneza 1M kwa week siwez kuwa na shida ya mtaji wa 5M,
 
Habari wana Jamvi la JF naamini kuna watu wanafanya Biashara na wapo kwenye Peak yani kilele cha mafanikio.

Ila kuna shida inaweza kumpata mtu kupelekea akatengeneza hasara ya kupunguza faida anayoipata ndani ya Wiki.

Nina 5m namtaka mtu mmoja ambae anafanya biashara na ana uhakika wa kutengeneza 1m ndani ya wiki.

Nakupa 5m utengeneze 1m Tugawane 500k kila mtu.

Biashara Yako ni Lazima unionyeshe kwa vitendo inafanyikaje na nihusike katika kuifanya na ndani ya hiyo wiki tuwe na Faida yetu.

Sikupi Hela nikakaa home,nakupa hela Tunaingia wote FRONT kuizalisha Yangu ni 500k na yako ni 500k. Tunagawana Faida.

uhakika Katika Hili liki success Ku raise capital to 20m naweza ila tu FAIDA yetu ni ndani ya Wiki sio Mwezi.

Kwahyo kama yupo mfanyabiashara mwenye uhakika wa anachokifanya tunaweza kuanza kwa hii 5m then ikitiki nipo tayari kuongeza mtaji to 20m kama biashara itahitaji kiasi hicho cha mtaji.

PM ipo Wazi naweza Nisijibu Comment kwasababu ya Ubize wa Hapa na Pale ila sitoacha Jibu PM kwa Mfanyabiashara ataenionyesha Faida kiuhalisia.

Lets All Raise our income.
You must be joking.
 
Huwezi tengeneza faida kwa huo mtaji labda bangi
 
mkuu inawezekana kabixa fanya biashara ya samaki wabichi kutoka mtera kuleta dar kwa mtaji wa m5 una uakika wa kufunga tenga mbili kila tenga hukosi 350k ukienda mara mbili kwa wiki unakuw umevuka lengo kwa 40%
 
Mwenyewe nimeshangaa, mana ndani ya hio week kama sharp anakuwa kasoma mchezo wote, kiasi anaweza kucopy chap akakulaza na viatu 😂😂 jamaa anataka kuiba idea kirahisi sanaa
Halafu kama naweza tengeneza 1M kwa week siwez kuwa na shida ya mtaji wa 5M,
mkuu ndio maana nikasema tunapima mtu kwa mawazo yake sasa jamaa anawaza kizembe sana na kwa akili zake hata akiwa na biashara kutoboa ni kipengele sana
 
Habari wana Jamvi la JF naamini kuna watu wanafanya Biashara na wapo kwenye Peak yani kilele cha mafanikio.

Ila kuna shida inaweza kumpata mtu kupelekea akatengeneza hasara ya kupunguza faida anayoipata ndani ya Wiki.

Nina 5m namtaka mtu mmoja ambae anafanya biashara na ana uhakika wa kutengeneza 1m ndani ya wiki.

Nakupa 5m utengeneze 1m Tugawane 500k kila mtu.

Biashara Yako ni Lazima unionyeshe kwa vitendo inafanyikaje na nihusike katika kuifanya na ndani ya hiyo wiki tuwe na Faida yetu.

Sikupi Hela nikakaa home,nakupa hela Tunaingia wote FRONT kuizalisha Yangu ni 500k na yako ni 500k. Tunagawana Faida.

uhakika Katika Hili liki success Ku raise capital to 20m naweza ila tu FAIDA yetu ni ndani ya Wiki sio Mwezi.

Kwahyo kama yupo mfanyabiashara mwenye uhakika wa anachokifanya tunaweza kuanza kwa hii 5m then ikitiki nipo tayari kuongeza mtaji to 20m kama biashara itahitaji kiasi hicho cha mtaji.

PM ipo Wazi naweza Nisijibu Comment kwasababu ya Ubize wa Hapa na Pale ila sitoacha Jibu PM kwa Mfanyabiashara ataenionyesha Faida kiuhalisia.

Lets All Raise our income.
Kama yupo anayeza kuchukua 20M na kunirejeshea laki 5 tu kwa mwezi ani PM tufanye biashara.
 
mkuu inawezekana kabixa fanya biashara ya samaki wabichi kutoka mtera kuleta dar kwa mtaji wa m5 una uakika wa kufunga tenga mbili kila tenga hukosi 350k ukienda mara mbili kwa wiki unakuw umevuka lengo kwa 40%
😄😄😄😄😄hii sawasawa na kwenda kueneza injili vatcan😄😄
Au kumwaga kifusi jangwani...........Hivi mnawazaga kweli haya mawazo?
 
mkuu inawezekana kabixa fanya biashara ya samaki wabichi kutoka mtera kuleta dar kwa mtaji wa m5 una uakika wa kufunga tenga mbili kila tenga hukosi 350k ukienda mara mbili kwa wiki unakuw umevuka lengo kwa 40%
Mzigo wa samaki ili upate faida itakubidi usafirishe gari zima
 
Habari wana Jamvi la JF naamini kuna watu wanafanya Biashara na wapo kwenye Peak yani kilele cha mafanikio.

Ila kuna shida inaweza kumpata mtu kupelekea akatengeneza hasara ya kupunguza faida anayoipata ndani ya Wiki...
Asante pia
 
mh kuna watu ni wajinga na kwa ujinga wao kutoka inakua ngumu.....

yaani uje na ki 5m chako kwenye biashara yangu iliyosimama nikuelekeze tufanye wote alafu tugawane faida 🤣🤣🤣🤣🤣 haya tunaitaga mawazo chupi achilia mbali kuhusu faida ya 1m kwa wiki ambayo hutaipata na tunapima uwezo wa mtu kwenye mawazo yake.....

nikushauri tu tafuta bhange uuze na uvute itakusaidia maishani
😂😂😂 hapo chacha
 
Back
Top Bottom