LIKUD
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 15,215
- 27,360
Kabla hajakutana na Evander kila mtu alikuwa anasema Tyson is undisputable. Siku aliyo kutana na Evander akawa ndio ingawa siku yake ya kuwa exposed to the world kwamba , kumbe Tyson ni bondia wa kawaida tu.
Usiku you instead ya Tyson kuwa bully kama alivyo zoea yeye ndio akawa bullied.
Mashabiki wa Tyson tuliumia sana siku hiyo (nilikuwa darasa la tano).
Tulianza kuchukua Evander kwa kututhibitishia kitu ambacho tulikuwa hatujaziandaa akili zetu kuzikubali lakini baadae tukajikuta tunamkubali tena Evander (Stochkholm Syndrome).
BACK TO MAYELE VS AZIZ KI
Yanga tuli "Mfalmesha" Mayele kwa sababu kwa muda mrefu tulikuwa wakiwa. Hatukuwa na striker ambae walau alikuwa na uhakika wa kufunga. Alipokuja Mayele alionekana mfalme chongo kwenye nchi ya vipofu.
Hata hivyo Mayele alikuwa na udhaifu huu hapa chinj👇
Hakuwa kabisa na njaa ya magoli yani akifunga goli moja tu amesha ridhika. Njaa alikuwa nayo akiwa hajapata goli lakini akishapata goli tu njaa inakata hapo hapo. Suala hili lilimuondolea sifa ya kuwa striker wa mpira wa kisasa. Mpira wa kisasa unamuhitaji striker anaefunga magoli mengi kama vile Haaland au Baleke kabla hajasahau kufunga (hajanyunyiziwa).
Striker unashindwa vipi kufikisha magoli walau 20 tu, kila msimu unafunga magoli kumi na 7 tu. Yee ( hiyo yee isome kwa sauti ya kisukuma).
Mtazame Azizi K, yeye sio striker ni kiungo, lakini ana magoli tisa na ligi ndio kwanza hata mzunguko wa kwanza haujamalizika.
Kwa kasi hii, Aziz Ki anaweza kufikisha zaidi ya magoli 20 au zaidi na anaweza hata kuvunja rekodi ya Mohamed Hussein Machinga.
Tusimsahau MAXI Nzengeli na yeye pia ni mchezaji mzuri mwenye njaa ya kufunga ambae anaweza kufikisha magoli 20 msimu huu.
Niliwahi kuandika Uzi kwamba kwenye timu yangu nitaenda na Kibu badala ya Mayele kwa sababu Kibu ana njaa ya kufunga na haridhiki na goli moja. Na huyu ni Kibu wa kipindi hicho ambae alikuwa bado hajaizoea jezi ya Simba. Watu walinipopoa sana but now mnamuona Kibu alivyo wamoto. Kibu angekuwa anacheza Yanga pale angekuwa na magoli 15 plus hadi muda huu.