comte
JF-Expert Member
- Dec 11, 2011
- 8,289
- 6,002
Mkuu wakati mwingine uwe unajikubali- mbadala wa internet ni kitu gani?Leo kuna shida kubwa sana ya mitandao yote ya simu tangu saa nne.
Nimejikuta nayakumbuka madishi ya Elon Musk ya Starlink.
NDUGU ZANGU TOA USHAURI USITUKANE
====
Pia soma: