Kwa dalili hizi Ninahisi nina maambukizi ya VVU

Tarehe 10/04/2024 nilikutana kimwili na mpenzi wangu ambae sikuwa nae kwa muda nilikuwa safarini. Nilipokutana nae sikutumia kinga kwan ni muda mrefu sana nilipima nae na tulikuwa negative, baada ya hapo nilisafiri . Baada ya wiki nilianza kusikia maumivu shingoni nilipogusa niligundua kuna vimbe pande mbili za shingo nikigusa napata maumivu , ni kama mitoki sasa nikaamua kugoogle kujua inatokana na nini .. moja ya sababu ikatajwa ni maambukizi ya vvu. Nikadata ikabidi nimuulize mpenz wangu kama kuna dalili yoyote anaihisi kwenye mwili wake akasema hana. Nikajawa na msongo wa mawazo mpaka nguvu za kufanya shughuli zangu za kila siku nakosa.. ninahofu isiyoelezeka.. naombeni madaktari mnipe ushauri . Naogopa sana kwenda kupima
Pole. Acha stress huna vvu bhana. Em endelea kuchapa kazi kwa furaha na kujituma.`Ungejua raia huko kwa ground!!!..
 
Kipimo ni sh. 5000/- TU WHY UUMIZE KICHWA,

Pima mkuu, kuna demu mke wa mtu nilokuwa nakakula, ila kalisisitiza condm kwamba kana mtoto mdogo na pia hakataki mimba.

Week juzi nikakaambia kama utani tupime, mimi nina box full ndani, kakubali chap hakana wasi wasi, basi nikakapiga na pira kisha kakasema kanawahi nitakatumia majibu.

Sio muda kipimo mistari miwili hewani, kanauliza vipi huko? Nikasema kipimo kimeharibu majibu hayaeleweki. Kikasema poaw tutakuja kurudia, ila toka siku hiyo hakajaja na hakatak kuja, kumaanisha kanajua hali yake.

Guys ile formula ya ABC ya femina itumike

A= Acha kabisa
B= baki na mwaminifu
C= Tumia Condom

A na B zimenishinda, walau C.
 
Kinachowaua watu wengi ni hofu, usipende kusikia au kutafuta 'bad news'; kama huwezi kuziimili kaa nazo mbali na uzisitafute.
Ata ukienda kupima jiandae kisaikolojia, ikiwa hivi au vile nifanyeje; lasivyo utapimwa na baadaye utashindwa kujisimamia, tayari tukakupoteza.​
 
huu unaitwa ujuaji kupita kiasi

mimi niliwahi pima ikaja mistari mi 3, nikadata kama ww nikashinda mtandaoni kusoma dalili za ngoma nikawa nahisi ninao

nikasema liwalo na liwe hosp. nikapima sina mdudu

nikarudi miezi saba baadae sina

sasa ni miaka 10+ sina, hadi kuna kipindi nimepigiwa pande la jeshi nikachomoa kwa kujua nimewaka (hadi leo nalaumu sana )

ujawaka wala nn ujuaji wa mtandao ndo,unakuponza
 
Ukweli mchungu, ila sina namna inabidi nikapime
Unaogopa nini? Ni sawa na kusema kwavile fulani kafa kwahiyo wewe hufanyi kazi wala maendeleo yyt.

Dunia sio paradiso halafu ukitafakari sana huoni sababu za maana sana za mtu kufa akiwa na afya njema kiasi cha kusema ajivunie kuwa kafa akiwa na afya njema.
 
Mkuu Ukilala Usiku Unafumba macho? Kama haufumbi macho bs ndo wenyewe huo... USIOGOPE KUPIMA MZEE.
Mkuu Kuna uhusiano gan wa kufumba macho na vvu?.

Nyuzi za namna hii ambazo wahusika wanakua wanataman kupata mtu Mmoja tu wa kuwasikiliza.

Tuwe tunaweka utani pemben
 
Mimi na uvimb upande mmoja lakn ni chin kdogo ya ya tez tangu march lkn maisha yanaendelea
 
Hilo pepo litakuua.
Hebu acha zinaa kijana.
UKIMWI gani uambukizwe baada ya siku kumi uone DALILI?
Hilo tatizo usipokuwa makini utafungulia milango ya mapepo yakuamgamize.
Kuna jamaa alitoka na demu Ijumaa, Jumatatu kaenda kupima tangu hapo hajakaa sawa mpaka leo mwaka wa kumi na tatu sasa.
 
Back
Top Bottom