Kwa dalili hizi Ninahisi nina maambukizi ya VVU

King yedidiah

Member
Apr 4, 2023
28
68
Tarehe 10/04/2024 nilikutana kimwili na mpenzi wangu ambae sikuwa nae kwa muda nilikuwa safarini.

Nilipokutana nae sikutumia kinga kwan ni muda mrefu sana nilipima nae na tulikuwa negative, baada ya hapo nilisafiri.

Baada ya wiki nilianza kusikia maumivu shingoni nilipogusa niligundua kuna vimbe pande mbili za shingo nikigusa napata maumivu , ni kama mitoki sasa nikaamua kugoogle kujua inatokana na nini .. moja ya sababu ikatajwa ni maambukizi ya vvu.

Nikadata ikabidi nimuulize mpenz wangu kama kuna dalili yoyote anaihisi kwenye mwili wake akasema hana. Nikajawa na msongo wa mawazo mpaka nguvu za kufanya shughuli zangu za kila siku nakosa.. ninahofu isiyoelezeka.

Naombeni madaktari mnipe ushauri.

Naogopa sana kwenda kupima
 
Back
Top Bottom