Kuwa wakala wa p2p binance

MOSHI UFUNDI

JF-Expert Member
Nov 25, 2022
501
1,152
Habari wa kuu nimeona capital ya hii biashara ya uwakala wa p2p katika binance wanadai ianzie 1000$ .
Ila nina baadhi ya maswali naomba msaada wenu.
1. Vipi risk ya hii biashara?
2. Vipi wateja unatafuta mwenyewe au imekaa vipi?
 
Risk zipo ndani ya muda mrefu. Ila kama ni uwekezaji wa miaka 5+ profit yake inastahili kusubiriwa. Invest na usiwe n tamaa n pesa yako
 
Habari wa kuu nimeona capital ya hii biashara ya uwakala wa p2p katika binance wanadai ianzie 1000$ .
Ila nina baadhi ya maswali naomba msaada wenu.
1. Vipi risk ya hii biashara?
2. Vipi wateja unatafuta mwenyewe au imekaa vipi?

Sio lazima uwe na $1000, ata $100 unaanza biz. Sema changamoto ni faida ndogo sana labda uwe unajua kitu kinaitwa ARBITRAGE TRADING ndio utapata faida kubwa. Ikiangalia bei ya kununua na kuuza zinafanana sasa faida unapata wapi mkuu labda uwe na lain za uwakala ulipe commission mwisho wa mwezi.

1713913897559.png

1713913948920.png

Risk ni pale unapojichanganya kutuma pesa hujaweka oda au ku release coins bila kuangalia malipo vizuri kwenye simu yako. Ukiachana na hizo mbili hapo juu no risk kwasababu kuna escrow system ndani ya P2P.

Upande wa bei kununua ni 2830 TZS, na kuuza 2832 TZS. :)
 
Sio lazima uwe na $1000, ata $100 unaanza biz. Sema changamoto ni faida ndogo sana labda uwe unajua kitu kinaitwa ARBITRAGE TRADING ndio utapata faida kubwa. Ikiangalia bei ya kununua na kuuza zinafanana sasa faida unapata wapi mkuu labda uwe na lain za uwakala ulipe commission mwisho wa mwezi.

View attachment 2972298

View attachment 2972299

Duh mkuu ujue me mgeni sana kwenye hii industry hiyo Escrow system inamaana gani?
 
Sio lazima uwe na $1000, ata $100 unaanza biz. Sema changamoto ni faida ndogo sana labda uwe unajua kitu kinaitwa ARBITRAGE TRADING ndio utapata faida kubwa. Ikiangalia bei ya kununua na kuuza zinafanana sasa faida unapata wapi mkuu labda uwe na lain za uwakala ulipe commission mwisho wa mwezi.

View attachment 2972298

View attachment 2972299

Risk ni pale unapojichanganya kutuma pesa hujaweka oda au ku release coins bila kuangalia malipo vizuri kwenye simu yako. Ukiachana na hizo mbili hapo juu no risk kwasababu kuna escrow system ndani ya P2P.

Upande wa bei kununua ni 2830 TZS, na kuuza 2832 TZS. :)
Mkuu hapo kwenye laini za uwakala unafanyaje kaka
 
Client anapo weka order ya kuuza dollar kwako kupitia exchange rate uliyo iweka Binance, unatakiwa kununua kwa kumlipa kupitia namba yake ya simu

Hivyo ili upate faida kubwa, angalau ni kwa kupitia commission ya laini ya uwakala ambapo kila utakapokuwa una deposit pesa kwa clients ndio commission yako mwisho wa mwezi inakuwa kubwa

Ni same as Mawakala wa Tigo pesa na mitandao ya cm mengine wanavoingiza profit
 
Nimekuelewa mkuu...na unapojiunga na binance wateja wa namna io unawapataje
 
Ndani ya Binance kwenye P2P kuna option ya kuweka tangazo lako ambalo utaweka exchange rate zako

Client akiingia ataona matangazo kutoka kwa vendors tofauti including you

Hivyo atachagua yeye ni rate ipi nzuri kwake kwa wakati huo, pia kuna factor nyengine ambazo client ataangalia ili aweze ku place order kwako

1. Kiwango cha pesa anachokitaka
Mfano client anataka ku change dollar 500 kwa wakati mmoja basi client ataangalia ni vendor gani mwenye kiasi hicho kwenye account yake kwa wakati huo, vendors wana nunua sana dollar kwa clients hivyo unakuta balance ya TSH kwenye account zao zinapungua au kuisha kabisa kwa siku hiyo

2. Mtandao wa simu for depositing
Kupitia matangazo hayo vendors wana deposit pesa kupitia mitandao ya simu, hivyo client anaangalia ni vendor gani ana option ya mtandao anaotaka yeye aingiziwe pesa yake

3. Muda wa order kukamilika
Kuna baadhi ya vendors wapo faster ku process order and vice versa
Screenshot_20240510-080833.png
 
Back
Top Bottom