Kuwa makini unapotaka kuchukua mkopo unyonyaji ni mkubwa sana

TZ-1

JF-Expert Member
Sep 28, 2020
3,414
5,762
MABENKI YETU TZ JAPO YAPO REGULATED LAKIN NAZAN KUNA WIZI UNAENDELEA HASA KWENYE MIKOPO

Katika hali ya kawaid nmeihash familia mkoa x kwend mkoa B na huko tayari nilikuw kwenye hatua za awali san katika ujenzi nikaona kulko kulpa pango la Tshs 150,000 hadi Tshs 200, 000 nkasema ngoja nikasake makato hayo ata kwa miaka 20 had 10 ili nmalze ujenzi katika hatua ya kawaid familia ikae hapo.

Nikafika katika zile bank 2 kongwe zaid Tanzania nipatekujua kuhusu mortage loan. Bank moja wakanipa mchanganuo.

Haya ndio maajabu baada ya kukate na officer loan. Nkapewa dondoo kuwa interest yao ni 16% ila kwa kiwango cha makato ya 200,000 naweza kupata Ths13,500000/- ikiwa makato yao kwa mwez ni Tshs 204,694.55 kwa miez 240 (miaka 20) ikiwa nitalpa jumla ya Tshs 49,126,692/-

Hapa ndio maajabu kabisa nikayaona baada ya kumwambia je kwaa miaka 10 nawez pata Tshs ngapi kwa range makato hayo.

Akajibu utapata Tshs 11,400,000/- ikiwa kwa miez 120 (miaka 10) Nitalpa Tshs 24,625,795.2

NB: Kwa wale tulio soma hesabu tutakuwa tumeelew vyema ila acha niendelee na ufafanuzi.

Mkopo wa miaka 20 na miaka 10 utofaut wa kiasi unachopewa ni Tshs 2,100,000/- utofauti wa makato kwa mwezi tshs520.41 Utofaut wa muda ni wa makato ni Mara 2 ya muda lakini pia utofaut wa jumla ya maripo ni mara mbili ya mkopo wa miaka 20 / ukichukua kwa miaka 20 utali Tshs 24,000,000+ sasa kwa akili yangu naona hizi bank sasa ni wez sana hawan ushawishi wa kibiashara.

(HIZO NI TAARFA RASMI JAPO SIWEZ ITAJA HYO BANK NITAENDELEA NA HILI KATK BANK ZNGNE)

Akili yangu ikaenda mbali zaidi nikaona Tz yetu sisi wanyonge wengi wanaumizwa ili wachache huko juu wao wanaish vizuri.

Bila D TATU ZA FORM 4 UNAWEZ USIELEW HII HOJA IMEKAA KIHISABATI ZAID

Futute-of-Loan.jpg
 
Miaka 20 ni mingi sana kwenye mkopo hivyo wanafanya hayo kulinda thamani ya pesa. Hiyo nyumba utakayoijenga kwa 13m ukijakuangalia thamani yake miaka 20 mbeleni utajua ni kwanini wanafanya hivyo. Au kama wewe ni mwajiriwa jaribu kuuliza mtu aliyeanza kazi kada yako miaka 20 iliyopita (2004) mshahara wake ulikuwa ngapi uone na sasa kwa anayeanza kama siyo zaidi ya mara 3. Pia uliza aliyejenga mwaka 2004 nyumba hiyo kwasasa utaijenga kwa gharama gani kama siyo zaidi ya mara 3 au 4. Hiyo ndiyo logic ya mikopo ya muda mrefu. Bora mtu ukope mkopo wa muda mfupi wenye makato makubwa ubaki bila kitu ili uishe mapema na urejeshe riba ndogo
 
Nenda kwa zile kausha damu kama tulia foundation. Nimatapeli usiombe. Wanachati na mteja wakimaliza wanafuta meseji. Yani nimakusha damu malaghai na matapeli
 
Miaka 20 ni mingi sana kwenye mkopo hivyo wanafanya hayo kulinda thamani ya pesa. Hiyo nyumba utakayoijenga kwa 13m ukijakuangalia thamani yake miaka 20 mbeleni utajua ni kwanini wanafanya hivyo. Au kama wewe ni mwajiriwa jaribu kuuliza mtu aliyeanza kazi kada yako miaka 20 iliyopita (2004) mshahara wake ulikuwa ngapi uone na sasa kwa anayeanza kama siyo zaidi ya mara 3. Pia uliza aliyejenga mwaka 2004 nyumba hiyo kwasasa utaijenga kwa gharama gani kama siyo zaidi ya mara 3 au 4. Hiyo ndiyo logic ya mikopo ya muda mrefu. Bora mtu ukope mkopo wa muda mfupi wenye makato makubwa ubaki bila kitu ili uishe mapema na urejeshe riba ndogo
Mkuu nmechanganua vzr ili mtu ajenge uelew , kam million 11400000 unawez lipa kwa miaka 10 inakuwaje millio 1300000 ulpe miak 20 kwa utofaut wa makato ya Tsh 500+
 
Hapo ndugu zangu nmeshusha mchanuo vzr nikiw na base zaid pia kwenye wizi ulipo kuwa
TShs 11,400,000/- ulipe kwa 10 years
Tshs 13,500,000 ulpe kwa miak 20 , ikiwa utofaut wa makato n tshs 500+ per months, usipowez ona apo utapgw san kwenye mikopo
 
Umedanganya boss! Sio rahisi tofauti iwe 500
Namaanisha utofaut wa makato kwa mwezi ni tshs 520.41 katk mikopo yote miwili
Mkuu nimetulia wakat na wasilisha nazan wew umepata idea sasa za hoja za kihisabat
 
MABENKI YETU TZ JAPO YAPO REGULATED LAKIN NAZAN KUNA WIZI UNAENDELEA HASA KWENYE MIKOPO

Katika hali ya kawaid nmeihash familia mkoa x kwend mkoa B na huko Tayar nilikuw kwenye hatua za awali san katk ujenz nkaon kulko kulpa pango la Tshs 150,000 hadi ,Tshs 200, 000 nkasema ngoja nkasake makato hayo ata kwa miaka 20 had 10 ili nmalze ujenz katk hatua ya kawaid familia ikae Apo

Nkafk ktk zle bank 2 kongwe zaid Tz npatekujua kuhusu mortage loan .
Bank moja wakanipa mchanganuo 👇👇👇

Haya ndio maajabu baad ya kukate na officer loan . Nkapew dondoo kuwa interest yao ni 16% ila kwa kiwango cha makato ya 200,000 nawez kupata
-📉📌Tshs13,500000/- ikiwa makato yao kwa mwez ni Tshs 204,694.55 kwa miez 240(miaka 20).ikiwa nitalpa jumla ya Tshs 49,126,692/-

Hapa ndio.maajabu kbsa nikayaona baada ya kumwambia je kwaa miaka 10 nawez pata Tshs ngap kwa range ma kato hayo

-📧Akajibu utapata Tshs 11,400,000/- ikiwa kwa miez 120 (miaka 10) Nitalpa Tshs 24,625,795.2\=

NB:- Kwa wale tulio soma hesabu tutakuw tumeelew vyema ila acha niendelee na ufafanuzi

Mkopo wa miaka 20 na miaka 10 utofaut wa kiasi unachopewa ni Tshs 2,100,000/- utofaut wa makato kwa mwezi tshs520.41 Utofaut wa muda ni Wa makato ni x
Mara 2 ya muda lakni pia utofaut wa jumla ya maripo ni mara mbili ya mkopo wa miaka 20 / ukichukua kwa miaka 20 utali Tshs 24,000,000+ sasa kwa akili yangu naona hizi bank sasa ni wez sana hawan ushawishi wa kibiashara.
(HIZO NI TAARFA RASMI JAPO SIWEZ ITAJA HYO BANK NITAENDELEA NA HILI KATK BANK ZNGNE)

Akili yangu ikaenda mbali zaid nikaona Tz yetu sisi wanyonge wengi wanaumizwa ili wachache huko juu wao wanaish vzr
Bila D TATU ZA FORM 4 UNAWEZ USIELEW HII HOJA IMEKAA KIHISABATI ZAID
Ninapenda kujua uliishia darasa la ngapi, uandishi wako mmmm!
 
Unawalaumu wanao regulate mabenki kuwa hawasimamii kikamilifu mpaka kuna kuwa na ulaghai kwa utoaji wa mikopo huku wewe mwenyewe unashindwa kutaja Bank hizo ulizokwenda na kupewa hizo hesabu.

Usipende kulalamika nawe unafanya makosa yale yake ya kuficha makosa.
 
Mkuu hao wahusika wanajua kinachoendelea
Mimi nmefka information kwakutowaharbia biashara lkn nimewajuza Tz wenzangu wawe makin
 
Back
Top Bottom