Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 38,269
- 47,484
Mbona Tanzania tangu imeukuwepo imekuwa ikiongozwa na watu wa dini ila kina ufisadi, wizi, uzembe, ubambikiaji kesi na dhuluma??Watu ambao hawamuamini MUNGU, hawafai kuanzia kwenye ngazi ya kifamilia mpaka ya kitaifa na kimataifa.. sio wa kuwaamini kabisa.
Ukiwa na imani ya MUNGU.. Moja kwa moja inakujengea hofu ya kufanya mambo maovu. Hivo unajichunga wewe kama wewe kuhakikisha huwakosei binadamu wenzako. Na hapo utu ndo unapojengeka