Kuna wanawake wana roho ngumu sijawahi kuona

Kwa hyo umekubali kwamba jamaa wa jambo pinzan anapeleka mikito zaid yako?maana tangu uko nae huyo mwamba hajawai kuiskia hiyo sauti ila mwamba alivyotia team tu jamaa akashindwa kuzoea hyo sauti
Hii kauli nikuongeza machungu kwa mtoa maada 🤣, INAPASWA KUKEMEWA VIKALI AU NAKOSEA WAJUMBE🤷🏼‍♂️
 
Dah maumivu ya kwanza kachapiwa kwako ..maumivu ya pili mwamba ana jua kut*mba kuliko wewe na majirani wame jua,, maumivu ya 3 daah mkuu hama apo
 
Aah..ila si ndo uhalisia mkuu?ukiwa away ground lazma ukaze haswa..inatakiwa uache legacy kama mwamba alivyofanya
Kweli mkuu! , kijana kachapa siku zote hajawahi kupigiwa Kelele za kupunguza sauti , kaja Mwamba day one watu hawalali🤣🤣🙌🏻
 
Hawa mademu wanaweza kukuigizia sauti, hawana akili hawa.
Dah maumivu ya kwanza kachapiwa kwako ..maumivu ya pili mwamba ana jua kut*mba kuliko wewe na majirani wame jua,, maumivu ya 3 daah mkuu hama apo
 
INAENDELEA....!

Baada ya kuwasiliana na huyu jirani yangu tuliweza kupanga Namna na kuwanasa huku nikimshirikisha mdogo wangu ambaye yey alikuwa karbu.

Hazikupita hata siku nne wakawa wamerudi tena kwenye mchezo wao, jamaa alinipgia simu mida kama saa Saba hivi night, ikabid nimshtue mdogo wangu akachukua boda na washkaji wawili fasta mpka sehem ya tukio. Ikawa Haina haja ya kuita watu kuwanasa ukinzingatia Dem hakuwa mke halali Bali ni mtu Wang tu.

Kama masihara juhudi za kuwanasa zilifanikiwa, wakawapa kichapo pale ( japo niliwasisitiza wasiwadhuru ikawa msala wa kujichukulia Sheria mkonon).

Jamaa alijitetea kuwa manzi alimwambia lile getho ni la brother wake yupo nchi ya nje hivo amemwachia yeye kama mwangalizi.

Aise mwanamke ni kiumbe hatar san.
Pole sana mkuu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom