Resilience
JF-Expert Member
- Jan 4, 2023
- 936
- 4,402
Hii imeshindikana, mfumo wa maisha umewafanya watu watamani kuwa matajiri asubuhi bila kuvuja jasho.
Kuna mbinu zinatumika zinaumiza uchumi, lakini pia zinachafua taswira ya ofisi ya mkuu wa nchi. Wafanyabishara wa Magari hasa DSM wana magari mengi sana ya transit au yaliyoingizwa nchini kama vile wahusika wanakuja kutembea na yanauzwa bila serikali kupata kodi.
Wote wanaofanya biashara hizi chafu wanapiga kelele mama mama mama; it's not sawa. Kama unapenda mama afanikiwe timiza wajibu acha wizi. Na hapa TRA awakanyagi.
Kuthibitisha hilo TRA waende leo kufanya ukaguzi wa magari yaliyo katika maeneo mbalimbali Magomeni, Sizlnza, Mwananyamala, Kinondoni, Manzese na Ubungo watagundua ninachokisema.
Lakini mnaomiliki magari jitahidini kwenda TRA kuulizia kama hiyo gari imesajiliwa kihalali na kodi yote ikiwemo kubadili majina kama serikali imepata haki yake. Ipo siku ataingia kiongozi mwingine haya makampuni ya magari yatafunga biashara na wewe mwenye gari utawajibika kwenda kulipia na penalt juu.
Nenda Kariakoo; hakuna kutoa risiti. Watu wananunua bidhaa za mamilioni hakuna risiti. TRA wakikomaa kudai risiti wanaambiwa wanamkwamisha mama. Mdogo mdogo mtakuja kuelewa pale madeni yatakaposhindikana kulipika.