Kuna wakwepa kodi wamebuni mbinu ya kubandika picha ya Rais kwenye biashara na mali zao

Resilience

JF-Expert Member
Jan 4, 2023
911
4,245
Hii imeshindikana, mfumo wa maisha umewafanya watu watamani kuwa matajiri asubuhi bila kuvuja jasho.

Kuna mbinu zinatumika zinaumiza uchumi, lakini pia zinachafua taswira ya ofisi ya mkuu wa nchi. Wafanyabishara wa Magari hasa DSM wana magari mengi sana ya transit au yaliyoingizwa nchini kama vile wahusika wanakuja kutembea na yanauzwa bila serikali kupata kodi.

Wote wanaofanya biashara hizi chafu wanapiga kelele mama mama mama; it's not sawa. Kama unapenda mama afanikiwe timiza wajibu acha wizi. Na hapa TRA awakanyagi.

Kuthibitisha hilo TRA waende leo kufanya ukaguzi wa magari yaliyo katika maeneo mbalimbali Magomeni, Sizlnza, Mwananyamala, Kinondoni, Manzese na Ubungo watagundua ninachokisema.

Lakini mnaomiliki magari jitahidini kwenda TRA kuulizia kama hiyo gari imesajiliwa kihalali na kodi yote ikiwemo kubadili majina kama serikali imepata haki yake. Ipo siku ataingia kiongozi mwingine haya makampuni ya magari yatafunga biashara na wewe mwenye gari utawajibika kwenda kulipia na penalt juu.

Nenda Kariakoo; hakuna kutoa risiti. Watu wananunua bidhaa za mamilioni hakuna risiti. TRA wakikomaa kudai risiti wanaambiwa wanamkwamisha mama. Mdogo mdogo mtakuja kuelewa pale madeni yatakaposhindikana kulipika.
 
Hao TRA wanaoshindwa kufanya kazi zao kisa picha ndiyo wa kulaumiwa mkuu, maana sidhani kama wakifika hiyo picha inawaambia huyu acheni kumdai kodi ni mtu wangu

Wao watekeleze wajibu wao wa kazi
 
Ninaunga mkono hoja. Ufumbuzi ni mmoja tu: katiba mpya itakayotupa taasisi imara na zenye kujitegemea. TRA yetu imeingiliwa kiutendaji na wanasiasa, hivyo maamuzi yake hayazingatii sheria bali ni siasa tu.

Mbunge anaweza kuandika memo kwenda TRA na kubadilisha utendaji wake kisheria kwa maslahi yake. Ni muhimu kuwa na taasisi ya kijamii inayofuatilia utendaji wa TRA.

Kodi zinazotozwa na TRA ziwe za haki ili mlipa kodi asitafute njia za mkato. Kwa mfano, unaponunua gari Afrika Kusini kwa 150k zar, ukileta Tanzania TRA inakutoza 130k zar.

Hii inawafanya walipa kodi kutafuta mbinu za kukwepa kodi, hivyo ni muhimu kuhakikisha kuwa sio kila suala linahusisha Rais.
 
Hii imeshindikana, mfumo wa maisha umewafanya watu watamani kuwa matajiri asubuhi bila kuvuja jasho.

Kuna mbinu zinatumika zinaumiza uchumi, lakini pia zinachafua taswira ya ofisi ya mkuu wa nchi. Wafanyabishara wa Magari hasa DSM wana magari mengi sana ya transit au yaliyoingizwa nchini kama vile wahusika wanakuja kutembea na yanauzwa bila serikali kupata kodi.

Wote wanaofanya biashara hizi chafu wanapiga kelele mama mama mama; it's not sawa. Kama unapenda mama afanikiwe timiza wajibu acha wizi. Na hapa TRA awakanyagi.

Kuthibitisha hilo TRA waende leo kufanya ukaguzi wa magari yaliyo katika maeneo mbalimbali Magomeni, Sizlnza, Mwananyamala, Kinondoni, Manzese na Ubungo watagundua ninachokisema.

Lakini mnaomiliki magari jitahidini kwenda TRA kuulizia kama hiyo gari imesajiliwa kihalali na kodi yote ikiwemo kubadili majina kama serikali imepata haki yake. Ipo siku ataingia kiongozi mwingine haya makampuni ya magari yatafunga biashara na wewe mwenye gari utawajibika kwenda kulipia na penalt juu.

Nenda Kariakoo; hakuna kutoa risiti. Watu wananunua bidhaa za mamilioni hakuna risiti. TRA wakikomaa kudai risiti wanaambiwa wanamkwamisha mama. Mdogo mdogo mtakuja kuelewa pale madeni yatakaposhindikana kulipika.
acha upotoshaji,
hilo si kweli,

Kubandika Picha ya Rais ni uzalendo na mapenzi ya wafanya biashara kwa Rais, lakini pia na ishara ya kukubali kwao nia, na mipango ya Dr.Samia Suluhu Hassan kwenye kuchochea biashara zao zikue na kuongezeka zaidi. Wanafanya biashara zao kwa Amani na Utulivu, ni kwasabb ya jitihada za huyu Mama 🐒

ukienda pharmacy na maduka ya bidhaa na huduma mbalimbali kama vile maduka ya kubadlisha fedha, ofisi za biashara za wachora ramani n.k kuna picha ya Rais na wanalipa kodi vizuri sana 🐒

so,
sio kweli wenye picha za Rais kwenye magari au biashara zao ni wakwepa kodi,No. Hiyo ni upotoshaji wa wazi kabisaaaa 🐒
 
Nchi masikini ya kutupwa tunanunua magari ya gharama kwa ajili gani? Matumizi ya kodi zetu sio mazuri acha watu wakwepe kodi.
20220726_231115.jpg

JamiiForums2117940117.jpg
 
Hii imeshindikana, mfumo wa maisha umewafanya watu watamani kuwa matajiri asubuhi bila kuvuja jasho.

Kuna mbinu zinatumika zinaumiza uchumi, lakini pia zinachafua taswira ya ofisi ya mkuu wa nchi. Wafanyabishara wa Magari hasa DSM wana magari mengi sana ya transit au yaliyoingizwa nchini kama vile wahusika wanakuja kutembea na yanauzwa bila serikali kupata kodi.

Wote wanaofanya biashara hizi chafu wanapiga kelele mama mama mama; it's not sawa. Kama unapenda mama afanikiwe timiza wajibu acha wizi. Na hapa TRA awakanyagi.

Kuthibitisha hilo TRA waende leo kufanya ukaguzi wa magari yaliyo katika maeneo mbalimbali Magomeni, Sizlnza, Mwananyamala, Kinondoni, Manzese na Ubungo watagundua ninachokisema.

Lakini mnaomiliki magari jitahidini kwenda TRA kuulizia kama hiyo gari imesajiliwa kihalali na kodi yote ikiwemo kubadili majina kama serikali imepata haki yake. Ipo siku ataingia kiongozi mwingine haya makampuni ya magari yatafunga biashara na wewe mwenye gari utawajibika kwenda kulipia na penalt juu.

Nenda Kariakoo; hakuna kutoa risiti. Watu wananunua bidhaa za mamilioni hakuna risiti. TRA wakikomaa kudai risiti wanaambiwa wanamkwamisha mama. Mdogo mdogo mtakuja kuelewa pale madeni yatakaposhindikana kulipika.
Wajinga wanasema twende na mama 2025 ,atatuvusha😳
 
Mimi ninaamini kila alitajae na kusifia saaaana mama lazima Kuna Jambo analo...
 
Hii imeshindikana, mfumo wa maisha umewafanya watu watamani kuwa matajiri asubuhi bila kuvuja jasho.

Kuna mbinu zinatumika zinaumiza uchumi, lakini pia zinachafua taswira ya ofisi ya mkuu wa nchi. Wafanyabishara wa Magari hasa DSM wana magari mengi sana ya transit au yaliyoingizwa nchini kama vile wahusika wanakuja kutembea na yanauzwa bila serikali kupata kodi.

Wote wanaofanya biashara hizi chafu wanapiga kelele mama mama mama; it's not sawa. Kama unapenda mama afanikiwe timiza wajibu acha wizi. Na hapa TRA awakanyagi.

Kuthibitisha hilo TRA waende leo kufanya ukaguzi wa magari yaliyo katika maeneo mbalimbali Magomeni, Sizlnza, Mwananyamala, Kinondoni, Manzese na Ubungo watagundua ninachokisema.

Lakini mnaomiliki magari jitahidini kwenda TRA kuulizia kama hiyo gari imesajiliwa kihalali na kodi yote ikiwemo kubadili majina kama serikali imepata haki yake. Ipo siku ataingia kiongozi mwingine haya makampuni ya magari yatafunga biashara na wewe mwenye gari utawajibika kwenda kulipia na penalt juu.

Nenda Kariakoo; hakuna kutoa risiti. Watu wananunua bidhaa za mamilioni hakuna risiti. TRA wakikomaa kudai risiti wanaambiwa wanamkwamisha mama. Mdogo mdogo mtakuja kuelewa pale madeni yatakaposhindikana kulipika.
Sasa inahusianaje na wao kulipa au kukwepa Kodi? TRA washughulikieni hao mbugila 😁😁
 
Dotto mtoto wa mama kizimkazi huyo, kamaliza kuuza gari za wizi saizi anakwepa kodi na kila siku anajifanya mama hivi mama vile.
 
Back
Top Bottom