Kuna uraibu wa vyakula vya nazi? Chakula cha nazi ni bora sana tofauti na kisicho na nazi?

Nazi ni tamu ila Kuna wataalamu wanasema inapelekea magonjwa ya moyo na presha, pengine kwa sababu ya kuwa na mafuta mengi. Wenye utaalamu watufafanulie zaidi tafadhali.
 
Back
Top Bottom