KUMEKUCHA!! Kongo DRC Majeshi ya SADC kuwaangamiza M23

Earthmover

JF-Expert Member
Sep 28, 2012
23,233
20,831
Jumuiya ya Maendeleo ya nchini za Kusini mwa Afrika (SADC), imetangaza kuwa vikosi vyake nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo vitafanya mashambulizi, kwa ushirikiano na vikosi vya serikali, ili "kuwamaliza waasi wa M23 na kurejesha amani na usalama."
SADC ilitangaza hayo katika taarifa yake ikilaani shambulio la bomu dhidi ya kambi ya wakimbizi ya Mugunga nje kidogo ya mji wa Goma, ambalo inasema lilitekelezwa na M23, kusababisha vifo vya watu takriban watu 16 na kujeruhi wengine takriban 30.

M23 walikanusha vikali madai hayo. Gavana wa Jimbo la Kivu, Ruguru, alisema kuwa watu 14 walifariki na wengine zaidi ya 35 kujeruhiwa katika shambulio la kambi ya Mugunga.

Vikosi vya SADC vimekuwa Kivu Kaskazini tangu mwishoni mwa mwaka jana, tangu Januari (1) vimeshiriki katika makabiliano ya "moja kw amoja" dhidi ya M23 kwa kutumia "mizinga nzito, ndege za kivita, ndege zisizo na rubani, na vifaru" katika maeneo yaliyo chini ya udhibiti wa M23, kama mkuu wa M23 alivyotangaza wakati huo

Maswali yamekuwa yakiulizwa ikiwa onyo hili jipya kutoka kwa vikosi vya SADC linamaanisha kwamba vikosi hivi, hasa kutoka Afrika Kusini, vitatumia nguvu za kijeshi za ajabu katika mzozo huo.
Mwezi uliopita, Rais Cyril Ramaphosa wa Afrika Kusini akiwa nchini Rwanda, aliwaambia waandishi wa habari kwamba ana "nguvu mpya na azma" ya kutafuta "suluhisho la kisiasa" la mzozo wa DR Congo.
Taarifa ya SADC iliyotolewa siku ya Jumapili ilisema kwamba vikosi vyake lazima vifanye mashambulizi haya ili "kuwalinda raia na mali zao, wanaokabiliwa na tishio la kushambuliwa", "kufungua barabara ili kukidhi mahitaji", "na kulinda raia wanaokimbia kuua."

Ni nani aliyeshambulia kambi ya wakimbizi Mugunga?​

Serikali za Marekani na DR Congo zilithibitisha kwamba shambulio hilo lilifanywa na waasi wa M23 kwa msaada wa Rwanda. SADC pia ilithibitisha kwamba ilifanywa na M23.
M23 inakanusha kmadai hayo, ikilaumu vikosi vya serikali na waasi wa watiifu kwa serikali ya Kinshasa, ikisema kuwa walitumia silaha nzito karibu na kambi za wakimbizi.
Kujibu madai hayo, serikali ya Rwanda iliikosoa Marekani kwa "kufikia uamuzi mara moja wa kuilaumu Rwanda bila uchunguzi wowote", ikisema kwamba uchunguzi wa kuaminika lazima kwanza ukamilike ili kufichua kilichotokea.
Watu wengine 30 walijeruhiwa wakati makombora yalipopiga kambi za wakimbizi karibu na mji wa Goma mashariki mwa Congo siku ya Ijumaa iliyopita.
Katika taarifa yake, serikali ya Rwanda iliikosoa Marekani kwa "kufikia uamuzi mara moja wa kuilaumu Rwanda bila uchunguzi wowote" ikisisitiza kwamba uchunguzi wa kuaminika lazima kwanza ukamilike ili kufichua ni nini hasa kilitokea.
kwa mjibu wa tangazo lilitolewa na msemaji wa serikali ya Rwanda Yolande Makolo ,Rwanda haitabeba jukumu la shambulio hilo la makombora katika kambi za Mugunga na Lac Vert karibu na mji wa Goma, au kushindwa kwa utawala wa Congo kurejesha usalama mashariki mwa Congo.

Source : BBC news swahi

Nzambe bubariki Bakongomani bosee na majirani zetu kutoka MuTanzania na Afika ya Kusini kumupiga huyu adui ya kwetu huko kumapori busambaratishwe na Congo yetu kuwa sehemu salama ya kuishi
 
Haya yote yanafanyika ili kuwanufaisha na kuwafurahisha watawala huku familia zao zikiwa mbali na mabomu na risasi hizo.

Hii dunia ina mambo ya hovyo sana, eti ninakubali kufa au kuua watu wasio na hatia kisa flani apate mali za kuendelea kula na ndugu zake huku mimi familia yangu ikiendelea kutaabika milele.
 
Hamna lolote litakalofanyika la maana. Mwafrika na kuchukua hatua wapi na wapi. Magharibi mwa Congo wako wanakata viuno hata hawazingatii kinachoendelea Mashariki mwa nchi yao.
 
Hao SADC wanapoteza muda tu. Matatizo ya Congo hayawezi kumalizwa bila kumuondoa dikteta Kagame madarakani kwa sababu yeye ndiye yuko nyuma ya pazia akisumbua wakongomani.

Kuhangaishana na hao M23 ni sawa tu na daktari anayetibu dalili za ugonjwa.

The doctor treating symptoms rather than dealing with the underlaying cause of the disease.
 
Jumuiya ya Maendeleo ya nchini za Kusini mwa Afrika (SADC), imetangaza kuwa vikosi vyake nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo vitafanya mashambulizi, kwa ushirikiano na vikosi vya serikali, ili "kuwamaliza waasi wa M23 na kurejesha amani na usalama."
SADC ilitangaza hayo katika taarifa yake ikilaani shambulio la bomu dhidi ya kambi ya wakimbizi ya Mugunga nje kidogo ya mji wa Goma, ambalo inasema lilitekelezwa na M23, kusababisha vifo vya watu takriban watu 16 na kujeruhi wengine takriban 30.

M23 walikanusha vikali madai hayo. Gavana wa Jimbo la Kivu, Ruguru, alisema kuwa watu 14 walifariki na wengine zaidi ya 35 kujeruhiwa katika shambulio la kambi ya Mugunga.

Vikosi vya SADC vimekuwa Kivu Kaskazini tangu mwishoni mwa mwaka jana, tangu Januari (1) vimeshiriki katika makabiliano ya "moja kw amoja" dhidi ya M23 kwa kutumia "mizinga nzito, ndege za kivita, ndege zisizo na rubani, na vifaru" katika maeneo yaliyo chini ya udhibiti wa M23, kama mkuu wa M23 alivyotangaza wakati huo

Maswali yamekuwa yakiulizwa ikiwa onyo hili jipya kutoka kwa vikosi vya SADC linamaanisha kwamba vikosi hivi, hasa kutoka Afrika Kusini, vitatumia nguvu za kijeshi za ajabu katika mzozo huo.
Mwezi uliopita, Rais Cyril Ramaphosa wa Afrika Kusini akiwa nchini Rwanda, aliwaambia waandishi wa habari kwamba ana "nguvu mpya na azma" ya kutafuta "suluhisho la kisiasa" la mzozo wa DR Congo.
Taarifa ya SADC iliyotolewa siku ya Jumapili ilisema kwamba vikosi vyake lazima vifanye mashambulizi haya ili "kuwalinda raia na mali zao, wanaokabiliwa na tishio la kushambuliwa", "kufungua barabara ili kukidhi mahitaji", "na kulinda raia wanaokimbia kuua."

Ni nani aliyeshambulia kambi ya wakimbizi Mugunga?​

Serikali za Marekani na DR Congo zilithibitisha kwamba shambulio hilo lilifanywa na waasi wa M23 kwa msaada wa Rwanda. SADC pia ilithibitisha kwamba ilifanywa na M23.
M23 inakanusha kmadai hayo, ikilaumu vikosi vya serikali na waasi wa watiifu kwa serikali ya Kinshasa, ikisema kuwa walitumia silaha nzito karibu na kambi za wakimbizi.
Kujibu madai hayo, serikali ya Rwanda iliikosoa Marekani kwa "kufikia uamuzi mara moja wa kuilaumu Rwanda bila uchunguzi wowote", ikisema kwamba uchunguzi wa kuaminika lazima kwanza ukamilike ili kufichua kilichotokea.
Watu wengine 30 walijeruhiwa wakati makombora yalipopiga kambi za wakimbizi karibu na mji wa Goma mashariki mwa Congo siku ya Ijumaa iliyopita.
Katika taarifa yake, serikali ya Rwanda iliikosoa Marekani kwa "kufikia uamuzi mara moja wa kuilaumu Rwanda bila uchunguzi wowote" ikisisitiza kwamba uchunguzi wa kuaminika lazima kwanza ukamilike ili kufichua ni nini hasa kilitokea.
kwa mjibu wa tangazo lilitolewa na msemaji wa serikali ya Rwanda Yolande Makolo ,Rwanda haitabeba jukumu la shambulio hilo la makombora katika kambi za Mugunga na Lac Vert karibu na mji wa Goma, au kushindwa kwa utawala wa Congo kurejesha usalama mashariki mwa Congo.

Source : BBC news swahi

Nzambe bubariki Bakongomani bosee na majirani zetu kutoka MuTanzania na Afika ya Kusini kumupiga huyu adui ya kwetu huko kumapori busambaratishwe na Congo yetu kuwa sehemu salama ya kuishi
Hao wana jeshi wa SADC, watapoteza maisha tu, hapo Congo kuna malighafi muhimu kwa ajiri ya viwanda vya magari ya umeme kule USA! Bidhaa ya kutengeneza bettries, kuna pesa kutoka nje inataka hiyo Vita iendelee, ili kusiwe na mamlaka ya serikali kuweza kuzuia,
 
Kwa hiyo waache drc ivunjike vipande vipande na Rwanda aweze kujipanua zaidi, ili Kesho awe tishio au chombo cha uvamizi Kwa Nchi zingine iwe Uganda, Tz , South Sudan n.k
 
Hao SADC wanapoteza muda tu. Matatizo ya Congo hayawezi kumalizwa bila kumuondoa dikteta Kagame madarakani kwa sababu yeye ndiye yuko nyuma ya pazia akisumbua wakongomani.

Kuhangaishana na hao M23 ni sawa tu na daktari anayetibu dalili za ugonjwa.

The doctor treating symptoms rather than dealing with the underlaying cause of the disease.
Hiyo ya M23 ni hatua ya Kwanza , na kuua dhana na Kagame na watu wake kwamba
1. Yeye Kagame analinda Haki zawatusi walioko Rwanda
2.M23 wanalinda Haki za Congotusi
3.Wote wawili M23 na Kagame wanapambana na FDRL(Wanajeshi walioendesha mauwaji ya kimbari)
Sasa hili la tatu ni la kisiasa zaidi nalo linatakiwa kushughulikiwa kinamna yake.
 
Ndo maana Sadec imeamua kuwafuta Kabisa wako mtu kati soon Kigali ni vilio
 
Hivi kwanini tanzania isiungane na congo tuwe nchini Moja? hii maneno 92kj ingekua imeshaihitmisha
FB_IMG_1708575967229.jpg
 
Jumuiya ya Maendeleo ya nchini za Kusini mwa Afrika (SADC), imetangaza kuwa vikosi vyake nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo vitafanya mashambulizi, kwa ushirikiano na vikosi vya serikali, ili "kuwamaliza waasi wa M23 na kurejesha amani na usalama."
SADC ilitangaza hayo katika taarifa yake ikilaani shambulio la bomu dhidi ya kambi ya wakimbizi ya Mugunga nje kidogo ya mji wa Goma, ambalo inasema lilitekelezwa na M23, kusababisha vifo vya watu takriban watu 16 na kujeruhi wengine takriban 30.

M23 walikanusha vikali madai hayo. Gavana wa Jimbo la Kivu, Ruguru, alisema kuwa watu 14 walifariki na wengine zaidi ya 35 kujeruhiwa katika shambulio la kambi ya Mugunga.

Vikosi vya SADC vimekuwa Kivu Kaskazini tangu mwishoni mwa mwaka jana, tangu Januari (1) vimeshiriki katika makabiliano ya "moja kw amoja" dhidi ya M23 kwa kutumia "mizinga nzito, ndege za kivita, ndege zisizo na rubani, na vifaru" katika maeneo yaliyo chini ya udhibiti wa M23, kama mkuu wa M23 alivyotangaza wakati huo

Maswali yamekuwa yakiulizwa ikiwa onyo hili jipya kutoka kwa vikosi vya SADC linamaanisha kwamba vikosi hivi, hasa kutoka Afrika Kusini, vitatumia nguvu za kijeshi za ajabu katika mzozo huo.
Mwezi uliopita, Rais Cyril Ramaphosa wa Afrika Kusini akiwa nchini Rwanda, aliwaambia waandishi wa habari kwamba ana "nguvu mpya na azma" ya kutafuta "suluhisho la kisiasa" la mzozo wa DR Congo.
Taarifa ya SADC iliyotolewa siku ya Jumapili ilisema kwamba vikosi vyake lazima vifanye mashambulizi haya ili "kuwalinda raia na mali zao, wanaokabiliwa na tishio la kushambuliwa", "kufungua barabara ili kukidhi mahitaji", "na kulinda raia wanaokimbia kuua."

Ni nani aliyeshambulia kambi ya wakimbizi Mugunga?​

Serikali za Marekani na DR Congo zilithibitisha kwamba shambulio hilo lilifanywa na waasi wa M23 kwa msaada wa Rwanda. SADC pia ilithibitisha kwamba ilifanywa na M23.
M23 inakanusha kmadai hayo, ikilaumu vikosi vya serikali na waasi wa watiifu kwa serikali ya Kinshasa, ikisema kuwa walitumia silaha nzito karibu na kambi za wakimbizi.
Kujibu madai hayo, serikali ya Rwanda iliikosoa Marekani kwa "kufikia uamuzi mara moja wa kuilaumu Rwanda bila uchunguzi wowote", ikisema kwamba uchunguzi wa kuaminika lazima kwanza ukamilike ili kufichua kilichotokea.
Watu wengine 30 walijeruhiwa wakati makombora yalipopiga kambi za wakimbizi karibu na mji wa Goma mashariki mwa Congo siku ya Ijumaa iliyopita.
Katika taarifa yake, serikali ya Rwanda iliikosoa Marekani kwa "kufikia uamuzi mara moja wa kuilaumu Rwanda bila uchunguzi wowote" ikisisitiza kwamba uchunguzi wa kuaminika lazima kwanza ukamilike ili kufichua ni nini hasa kilitokea.
kwa mjibu wa tangazo lilitolewa na msemaji wa serikali ya Rwanda Yolande Makolo ,Rwanda haitabeba jukumu la shambulio hilo la makombora katika kambi za Mugunga na Lac Vert karibu na mji wa Goma, au kushindwa kwa utawala wa Congo kurejesha usalama mashariki mwa Congo.

Source : BBC news swahi

Nzambe bubariki Bakongomani bosee na majirani zetu kutoka MuTanzania na Afika ya Kusini kumupiga huyu adui ya kwetu huko kumapori busambaratishwe na Congo yetu kuwa sehemu salama ya kuishi
Latest M23 rebels, Congolese army clashes leave 8 dead, 9 injured
May 30, 2024Written by URN

Fierce fighting between March 23 Movement (M23) rebels and the Armed Forces of the Democratic Republic of Congo (FARDC), along with coalition forces in Kikuku, North Kivu province has resulted in the death of 8 civilians and injuries to nine others

The clashes, which began on Sunday all through to Monday, occurred in Kikuku and surrounding areas such as Kibirizi, Kashalira, Katolo, Bwalanda, and Rwindi. FARDC soldiers and coalition forces established defensive positions in Chaghala, Lusuli, Mirangi, Lusogha, Birundule, Kitolu, Kirere, and Buluma to prevent M23 fighters from advancing to capture the town of Kanyabayonga.

In the early hours of Tuesday morning, M23 rebels president Bertrand Bisimwa and political spokesperson Lawrence Kanyuka released a joint statement, reporting that four
houses were destroyed by bombs during the fighting.

They described the incident as tragic and claimed that the bombs, which caused civilian casualties, were fired from the direction of FARDC soldiers and coalition forces. They expressed concern over the international community's silence regarding the volatile security situation in the province.

“...the coalition destroyed four houses in Kikuku. We strongly condemn these inhumane and barbaric acts of violence. The continued killings perpetrated by the coalition forces of the Kinshasa regime constitute war crimes and crimes against humanity. The culpable silence of the international community in the face of these atrocities is unacceptable. It is imperative to protect human lives and guarantee the safety of innocent civilians. These acts of violence must not go unpunished”, says the M23 statement.

Earlier on May 3, 2024, 35 people were killed by bombs in a camp for displaced locals in Lushagala site. After the incident, both M23 rebels and the DRC government/coalition released statements accusing each other of firing bombs in the camp.

In March 2024, 18 civilians were killed by bombs in Nyanzale and Matete villages, located between Kishishe and Kirima along the Mabenga road. M23 rebels accused FARDC and the coalition of shelling civilian positions. In January 2024, 19 civilians were killed in Mweso town, Masisi territory, with both parties accusing each other of responsibility.

In March 2022, M23, led by Bisimwa and Gen Sultan Makenga, initiated a conflict against the government. The DRC government accuses Rwanda of supporting M23, although both Rwanda and M23 vehemently deny these claims. The rebels assert that they are fighting against corruption, xenophobia, and discrimination within the leadership of DRC.
 
Hao SADC wanapoteza muda tu. Matatizo ya Congo hayawezi kumalizwa bila kumuondoa dikteta Kagame madarakani kwa sababu yeye ndiye yuko nyuma ya pazia akisumbua wakongomani.

Kuhangaishana na hao M23 ni sawa tu na daktari anayetibu dalili za ugonjwa.

The doctor treating symptoms rather than dealing with the underlaying cause of the disease.
Upo sahihi
 
Back
Top Bottom