Ndiyo katibu mkuu wa chama cha Umma,.. Chama cha watu wa Kigoma ingawa wewe ni mtu wa Ruvuma..Chadema haijawahi kuwa maarufu kigoma, ni kaskazini pekee
Vipi CHAUMA ikoje KIGOMA?
Ndiyo katibu mkuu wa chama cha Umma,.. Chama cha watu wa Kigoma ingawa wewe ni mtu wa Ruvuma..Chadema haijawahi kuwa maarufu kigoma, ni kaskazini pekee
Wakuu diwani wa chadema aliyekuwa anagombea nafasi ya uenyekiti wa halmashauri moja huko kigoma amepata kura tatu tu,hii ikanifanya niamini kuwa kweli chadema imechuja sana kigoma,make wapiga kura walikuwa 17 mh diwani wa chadema kaambulia tatu tu.
Wakuu mwanzo nilijua chadema wanangome imara kigoma kumbe ni kelele za chura hazimzuii ng'ombe kunywa maji.
Mtu mzima kupata kula tatu ni aibu sijui wewe unalichukuliaje hili kama mimi naacha na udiwani.
Mwambie Nape arudishe milioni tano alizohongwa ha ha Nape kabutuliwa aliyemkuwadia wamemwangusha CCM mumiani wa demokrasiaChadema bado sana haiwezi kuongoza wasubiri kipigo mwaka 2015 babu azimie kwa presha basi
Ili habari yako ikamilike toa mchanganuo kichama wa hao wapiga kura
CCM mnajaribu kupata cha kufurahia, endeleeni ....... labda mtaweza waliposhindwa wakuu wenu (mwig...) kila sikunaungana na wewe kk bora yule dada aache udiwani aibu gani halafu ni binti mdogo sana
Mtu mzima kupata kula tatu ni aibu sijui wewe unalichukuliaje hili kama mimi naacha na udiwani.
Tanzania iko kaskazini kwa Msumbiji!Chadema haijawahi kuwa maarufu kigoma, ni kaskazini pekee
wakuu diwani wa chadema aliyekuwa anagombea nafasi ya uenyekiti wa halmashauri moja huko kigoma amepata kura tatu tu,hii ikanifanya niamini kuwa kweli chadema imechuja sana kigoma,make wapiga kura walikuwa 17 mh diwani wa chadema kaambulia tatu tu.
Thread za namna hii nimezoea kusoma Face book kutoka kwa gaidi Mwigulu, naona zinahamia JF sasa