Kukamatwa kwa Boniface na Malissa: CHADEMA yatoa neno

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
118,186
219,331
Ujumbe wao huu hapa

Screenshot_2024-04-26-18-01-50-2.png



Pia soma!
 
Bwana mayai ni mwanachama wao? Kama ndiyo je wanayohaki hiyo? Kama hapana , je bado wanayo haki na wajibu?
 
Aliyekuwepo gizani ni Mbowe peke yake. Alikuwa gerezani kwa Ugaidi. Gerezani ikifika saa fulani, taa zinazimwa giza linatamalaki.

CHADEMA isiendeshe sera zake kwa matakwa na vinyongo binafsi vya Mbowe. Lugha iliyotumiwa inatoa kielelezo.
 
Boniface Jacob pale kituo cha polisi Mbweni anawaambia polisi waliokuwa CRO “hapa ukutani kulikuwa na kalenda yenye picha yangu nikiwa meya Kinondoni. DSM hii ni vituo viwili vya polisi nilikuwa sijalala. Mabwepande na Mbweni. Nimefurahi kulala hapa leo. Kituo ambacho bajeti ya ujenzi wake nimeidhinisha mimi mwenyewe nikiwa meya. Ahsante kwa huduma zenu maafande”. Askari was like, WTF. 😁
 
Nilifikiri utasema nimesema uongo.
Twende mahakamani mkavuliwe nguo
...subiri uchunguzi ukamilike bwashee. Nyie ni wazushi tu, huwa mnakuja na uharakati wenu, ushahidi na uthibitisho wa kuunga unga mahakamani hamuendi😌🤦🏾‍♂️
Haya.
 
Pambaneni na polisi muwatoe makamanda,nendeni kwa maandamano.
Wasipotolewa usiku huu asubuhi tunakinukisha
Dawa ni kufanya maandamano ya kufunga mitaa yote ya kuingia katikati ya jiji.
It will be only a 'temporary pain-killer,' not the permanent solution for the problem.
Ukitaka kuua mti basi chiimbua mizizi yake, ukikata tu matawi yake lazima ipo siku mti huo utakuja kuchipua tena na kustawi.
 
Back
Top Bottom