Kuhusu mkopo

R100

JF-Expert Member
Sep 11, 2014
337
81
Naombeni msaada nimefanya transfer lakini leo nimeangalia kwenye account yangu ya loan nimepata mkopo,je nitaupata mkopo wangu katika Chuo nilicho hamia?
 
ulifanya transfer lin? mi nadhani huo mkopo utakuwa umepata kupitia chuo ambacho ulipangiwa mwanzo kwani inawezekana jina lako halijafika bodi kama umehama au umefanya transfer ya chuo.ila cha kufanya wasiliana na chuo ulichohamia ili ufahamu kam jina lako la kubadili chuo limefika tcu na heslb?
 
Naombeni msaada nimefanya transfer lakini leo nimeangalia kwenye account yangu ya loan nimepata mkopo,je nitaupata mkopo wangu katika Chuo nilicho hamia?

Tulikuw tunawapa ushaur hapa kwa wanaohtaj kufny transfer ila hamkuw care........

Ili suala la kuhama linahtaj kuwa makin na unawez kukosa kabisa maana kama umepata mkopo jina lako litakuw kwny chuo ambcho ulipangiw mwnzon

Bajeti ya mkopo huwa inapelekw chuon kulingana na idadi kwaiy pesa yako ipo chuo ulipochaguliw mara ya kwnz

USHAURI: fatlia chuon kama jina lako lipo ukishajua lipo nenda chuo ulipopangiwa uwaelezee wacontact na HESLB
N:B ukiukosa mkopo ujuaji wako umekuponza uwe unauliza kwnza........
 
itakubidi usubir miezi mitatu(3) yaan chuo chako cha mwanzo kirudishe mkopo wako bodi then ndo waufanyie transfer kwenye chuo ulicho hamia.ukubali kusubir for 3months or even more
 
Back
Top Bottom