Candela JF-Expert Member Aug 12, 2021 730 1,883 Jan 31, 2024 #1 Kama sio mtaalam wa burudani sio lazima uchangie. Nasikia sikia Mbudya, Mbudya kila kona, nataka nitoke na shemeji/ wifi yenu this weekend. Niende nae au ntajibania mema ya nchi akiwa pembeni?
Kama sio mtaalam wa burudani sio lazima uchangie. Nasikia sikia Mbudya, Mbudya kila kona, nataka nitoke na shemeji/ wifi yenu this weekend. Niende nae au ntajibania mema ya nchi akiwa pembeni?
Amehlo JF-Expert Member May 8, 2019 9,281 26,112 Jan 31, 2024 #2 mmh Mbudya hakuna maajabu nenda nae tu
Kennedy JF-Expert Member Dec 28, 2011 49,752 55,501 Jan 31, 2024 #3 Hivyo Visiwa Huwa Navipita Nikienda Zanzibar Muhimu Nendeni Wote Mkapande Boti Msasani Chap Chap