Kramo anaomba kuondoka Simba

kilwakivinje

JF-Expert Member
Jan 4, 2014
6,013
9,107
Inasemekana Aubin Kramo ameuomba uongozi wa klabu ya Simba wamruhusu aondoke kwenye klabu hiyo arudi kwao au wamtoe kwa mkopo kwa sababu kuna mambo hayaelewi kwenye timu hiyo, kila inapofika siku ya mechi anajikuta anaumwa alafu mechi ikiisha anakuwa sawa".

IMG_4656.jpg
 
Kama taarifa imetokea kwa huyo Alex ngereza basi ni taka taka kama taka taka zingine tuu, hajawahi kuiongelea Simba kwa mema hata kidogo
 
Wamechelewa.

Wanafanya Hivi Baada ya KUONA MAKOSA Yao mengi kwenye USAJILI.

HAPO WANATAFUTA Beki na

Kiungo mkabaji.

Tuliwaahauri wamfanyie Robing Bangala Angeweza kucheza pote 5,6.

Simba wanatia Huruma.
Simba hii iliyopora ngao ya jamii
 
Back
Top Bottom