Kizazi cha 1990s ndo kizazi cha dhahabu cha watu wanaojitambua

Kizazi Cha 2000s siyo Cha kutegemewa katika jamii ni kizazi cha walevi, wadokozi, wabishi na wapenda starehe kupita vizazi vyote.

Kizazi Cha 2000s hakina adabu ( siyo wote ila wengi wao)
Hawafuati mafundisho ya wazazi wala jamii. Vibinti vidogo vinakunywa K-vant na konyagi.

Naweza kukipongeza kizazi Cha 1990s ni watu walio committed kimajukumu, wabeba majukumu na watu walio stable kihisia.

Kizazi Bora Cha kutegemewa zaidi kiliishia 1980s ( kwa wanaume) na kiliishia mwishoni mwa 1970s kwa wanawake.

Ukweli mchungu!
 
Mie nilikuwa na Blaza angu kulingana na mambo ambayo unakuta nafanya akaniambia mbona nyie mmewahi kuzinduka kuhusu mambo ya kimaisha, wakati sie kipindi tuna umri kama wenu tulikuwa bado tunajiona mambo ya kujipanga bado ni usela,kusiliza ragge,kila mtu kujiona ni mjamaika Bob marley,Peter tosh alpha bond na luck dube ndio role model wao na kuwaza kuzamia South Africa ndio yalikuwa malengo makubwa kwao.

Heshima kwenu kaka zangu wala sio kwamba nawabeza.
 
Sir Jeff anakuaje kijana wa maana wakati katepeli watu ,, Benjamin Havard product,aje kivingine,Nala money Bado sio kitu...
Duh nili kutana nae Mwaka huu, aki chana mbao anazo safirisha south a.
kusema kweli ana mashamba makubwa sana.

Hizo gari zilizo beba mzigo ni nyingi, pia na mashamba ya kilimo, why u under rate.
 
Back
Top Bottom