Hilo shamba la Mpunga ndio linauzwa?umeme ushafika kama inavyoonekana nguzo kwenye picha karibuni
Mkuu ondoa wasiwasi hvo ni viwanja tena havina shida ndo maana unaona kwenye picha jirani watu wamejenga na wanaishi maybe hujawahi kufika hyo mitaa ukipata muda katembelee hiyo mitaa ya kwa wambili utajionea mwenyewe palivyojengekaHilo shamba la Mpunga ndio linauzwa?
Mkuu, sehemu ambayo mpunga unastawi unasema hakuna shida? unajua mahitaji ya mpunga kustawi hivyo?Mkuu ondoa wasiwasi hvo ni viwanja tena havina shida ndo maana unaona kwenye picha jirani watu wamejenga na wanaishi maybe hujawahi kufika hyo mitaa ukipata muda katembelee hiyo mitaa ya kwa wambili utajionea mwenyewe palivyojengeka
Kuna 950kEneo: Mtaa wa kwa wa mbili - Zogoali
Bei: Tsh. 1,500,000/=
Umeme Upo na maji yapo
Ukubwa : mita 13/13 au miguu 18 kwa 18
Hakuna Dalalii
Piga namba 0627864823
View attachment 1487340View attachment 1487341View attachment 1487342View attachment 1487340View attachment 1487341
Mkuu Eddy King kama upo serious jivute walau 1450000 tufanye biasharaKuna 950k
Hapana mkuu ni kiwanja ambacho hakina shida ndo maana ukiangalia jirani watu wanaendelea kujenga kama kawaida ukipata mda tembelea chanika mwisho ukajionee mazingira na kwa kukuibia siri tu chanika ina asili ya kichanga maji hayakai na hautakuja kusikia chanika kuna mafuriko hata siku mojaHapo ni bonde la maji? Yanatuama?
Mkuu jirani kujenga si tatizo.Hapana mkuu ni kiwanja ambacho hakina shida ndo maana ukiangalia jirani watu wanaendelea kujenga kama kawaida ukipata mda tembelea chanika mwisho ukajionee mazingira na kwa kukuibia siri tu chanika ina asili ya kichanga maji hayakai na hautakuja kusikia chanika kuna mafuriko hata siku moja
Poa mkuu ukipata muda njoo uone mazingira mtaa wetu hauna shidaMkuu jirani kujenga si tatizo.
Na kuwa na mchanga pia si tatizo.
Kiwanja kikiwa kwenye bonde ni tatizo sana.