Mkeshahoi
JF-Expert Member
- Jan 4, 2009
- 2,469
- 281
napawaza kila leo hapanakushauri wekeza online.. strong website, strong youtube channel, strong instagram account.. upige hela za matangazo
napawaza kila leo hapanakushauri wekeza online.. strong website, strong youtube channel, strong instagram account.. upige hela za matangazo
anahitaji kuanzisha kiwanda na si kuanzisha kufungua financial business
Kwani maana yya kiwanda ni nini? Hebu tuanziie HAPO ukinijibu ndo ntajua ulichonijibu hazikua POMBE iila ulikua unaelewa unachonijibu..Tuanzie hapo...
Dah...Kama una mtaji lakini huna wazo...maana yake hujui kitu...hivyo..sikushauri ufungue kiwanda....tafuta aliye na kiwanda tayari...kinachofanya kazi kwa ufanisi..wekeza hapo...na ujifunzeHabari Wakuu,
Poleni na majukumu yenu ya kila sku,
Niende moja moja kwenye mada. Nahitaji mawazo ya kiwanda gani kidogo kwa Dar naweza anzisha kwa Mtaji wa 20M
Natumai nitapata mawazo nkuntu yatakayonifanya niweze kusongesha mbele Maisha
Natanguliza Shukrani.
Kweli we ni roho mbaya ata jina lako linasadifu ulicho replyDah...Kama una mtaji lakini huna wazo...maana yake hujui kitu...hivyo..sikushauri ufungue kiwanda....tafuta aliye na kiwanda tayari...kinachofanya kazi kwa ufanisi..wekeza hapo...na ujifunze
Sent using Beretta ARX 160
Dah...Sasa ya Nini kumdanganya? Wazo huwa mbele kabla ya mtaji... Mtu hajui chochote mnataka kumdanganya apoteze mtaji wake...kwanini asijifunze kwanza? Acheni unafki banaKweli we ni roho mbaya ata jina lako linasadifu ulicho reply
Mkuu anzisha kiwanda kidogo cha mafuta ya nazi kwa ajili ya kujipaka. Unaweza agiza mashine toka India.Habari Wakuu,
Poleni na majukumu yenu ya kila sku,
Niende moja moja kwenye mada. Nahitaji mawazo ya kiwanda gani kidogo kwa Dar naweza anzisha kwa Mtaji wa 20M
Natumai nitapata mawazo nkuntu yatakayonifanya niweze kusongesha mbele Maisha
Natanguliza Shukrani.
Asantee sanaa mkuuMkuu anzisha kiwanda kidogo cha mafuta ya nazi kwa ajili ya kujipaka. Unaweza agiza mashine toka India.
1. Gharama ya mashine haitazidi mi 6 hadi uzipate incl. tax and clearance.
2. Raw materials za mwanzo itakugharimu mil 2.
3. Operation costs za mwanzo(elec&water&comm) mil 2.
4. Utahitaji wafanyakazi 3 wages mil 1.8 kwa miezi 3 ya mwanzo.
5. Packaging materials & lebeling kwa miezi 3 ya mwanzo mil 2.
6. Distribution & marketing (assume una kausafiri kwa sasa na utakatumia)....1.5mil
Mil kumi save au weka kwenye fixed account usikilizie biashara inaendaje.
Jumla 15.3 Mil.
Ingine 4.7 save usikilizie biashara inaendaje
Fungua mashine ya kusaga pamoja na kuweka stock ya nafaka itakulipaHabari Wakuu,
Poleni na majukumu yenu ya kila sku,
Niende moja moja kwenye mada. Nahitaji mawazo ya kiwanda gani kidogo kwa Dar naweza anzisha kwa Mtaji wa 20M
Natumai nitapata mawazo nkuntu yatakayonifanya niweze kusongesha mbele Maisha
Natanguliza Shukrani.
TALA ndogoKopesha Watu warudishe kwa RIBA kwa kuanza inatosha..watu waweke dhamana vitu vyao visivyohamishika Hata kama anakopa laki 1 Mwambie alete HATI ya nyumba au kiwanja...
Katika biashara zote alizoshauriwa hii ndio nzuri na rahisi kwa mtu asiye na uzoefu wa biashara.Fungua mashine ya kusaga pamoja na kuweka stock ya nafaka itakulipa
Habari Wakuu,