kabiriga
JF-Expert Member
- Nov 18, 2012
- 861
- 830
Jamaa na rafiki yangu nafanyanae kazi katika ofisi moja, aghalabu uenda nyumbani kwake kupata chakula cha mchana kwakuwa anakaa jirani sana na ofisi yetu. Juzi tulipata lunch pale kwake kisha akaingia bedroom yeye na mkewe kabla ya kurudi ofisini kumalizia ngwe ya mchana, nilimsubiri sebuleni, Kisha akaja mkewe (shemeji) na kuniambia "samahani shemeji Mr anasemaje utangulie yeye atakuja muda sio mrefu" niliagana nae kisha nikaondoka huku nikisisitiza kuwa amwambie mmewe awahi.
Jamaa aliporudi baada kama saa moja hivi tangu nifike aliniomba tuzungumuze kidogo baada ya muda wa kazi. Tuliendelea na kazi kisha tuliambatana mpaka bar ya jirani kisha akanieleza yafuatayo "Ndugu yangu si unakumbuka mchana ulivyo niacha pale nyumbani baada ya lunch 'Mimi bwana shemeji yako siku hizi simuelewi maana mhhh, Mara nyingi nikirudi nyumbani mchana lazima anitake tufanye tendo la ndoa na haijalishi tulifanya hiyo asubuhi au tutafanya hivyo usiku, angalau anataka tufanye hivyo Mara tatu kwa siku siku ambazo yupo poa nimejaribu wakati mwingine kumpiga chenga siku nyingine nikimwambia sitorudi mchana maana kuna kazi nyingi hakubali mpaka atanipigia simu akiniomba nirudi Mara moja ni tii kiu yake, yapata miezi miwili tangu aanze mambo hayo na hakuwa hivyo kabla naogopa kumkatalia maana asije akachepuka bwana, sasa ndugu yangu ebu nipe ushahuri nifanyeje?"
Nilicho mshauri nikujaribu kumpa muda mkewe na kuwa na mazungumzo ya pamoja waone watafanyaje, kwangu mimi naona ni swala la kisaikologia zaidi.
Kama ungelikuwa wewe ungelimshaurije huyu jamaa?