Kitabu cha visa na mikasa ya kesi maarufu duniani sasa kiko sokoni

Nyie watu mtanifaa sana hususan kwa hapa mjini. Kwa mikoani bado natumia usafiri wa Mabasi kupeleka vifurushi kwa wateja wangu mmoja mmoja.
naomba nisambaze ujumbe huu kwenye mitandao mingine.
Mimi nipo mwanza, nahitaji hicho kitabu.
 
Tuma TZS 17,000/= kwa namba hii nitakutumia kwa njia ya Basi.
0715729292
Mkuu namba yako ya tigo haipatikani na ile ya voda siku isave. Kuna mteja katupigia anataka tumpelekee kitabu kariakoo.
Tafadhali tunaomba namba yako ili dereva wetu awasiliane na wewe kwa ajili ya kukipata kitabu.

[HASHTAG]#Tunafikisha[/HASHTAG]
 
Mkuu namba zangu ni hizi hapa:

0715729292
0752729292
0782555709
Pia unaweza kukipata pale Dar Free Market kwenye duka la kuuza vitabu vya sheria ghorofa ya kwanza frem za mbele
 
Wahaya wamebomea sana kwenye mambo ya sheria,kodi na kiingereza.
Hiki kitabu kitakuwa super kwa taaluma ya sheria na lugha ya sheria.
Tafadhali tafuta wakala kwa mfano Book shop kwa kila Mkoa au Wilaya na utujulishe ili tuweze kukipata kwa urahisi.
 
Nashukuru nilipata copy yangu moja... Ila nikiwa safarini Mwanza kuna jamaa akakipenda.
 
upload_2018-1-9_10-0-12-png.671526

upload_2018-1-9_10-0-37-png.671527

Habari wapendwa wa JF.

Kile kitabu kilichokuwa kikisubiriwa kwa hamu na wasomaji cha VISA NA MIKASA YA KESI MAARUFU DUNIANI NA HUKUMU ZAKE kimetoka na kwa sasa kinapatikana Chuo Kikuu Mlimani Dar Es Salaam Taasisi ya Kiswahili (TUKI) kwa bei ya TZS 10,000/=

Kwa wale wanaokihitaji wanaweza kuwasiliana na mimi Mzee Mtambuzi

Namba yangu ya Tigo ni hii hapa chini:

+255715729292

Ahsanteni sana kwa ushirikiano wenu.

Kama mawakili wanaojiita wasomi wa upande fulani hawamo, basi sinunui
 
upload_2018-1-9_10-0-12-png.671526

upload_2018-1-9_10-0-37-png.671527

Habari wapendwa wa JF.

Kile kitabu kilichokuwa kikisubiriwa kwa hamu na wasomaji cha VISA NA MIKASA YA KESI MAARUFU DUNIANI NA HUKUMU ZAKE kimetoka na kwa sasa kinapatikana Chuo Kikuu Mlimani Dar Es Salaam Taasisi ya Kiswahili (TUKI) kwa bei ya TZS 10,000/=

Kwa wale wanaokihitaji wanaweza kuwasiliana na mimi Mzee Mtambuzi

Namba yangu ya Tigo ni hii hapa chini:

+255715729292

Ahsanteni sana kwa ushirikiano wenu.
Jumatatu asubuhi around saa tatu nitkuja tunza kopi moja. Baada ya saa tatu usiitunze fanya hivyo kama vipo vichache.
 
Father Dallu hana mapindo mapindo!
Endelea kunyooka hivyo hivyo ww ni mtumishi wa Mungu hakuna kuangalia maslahi ya mabeberu wa Ulaya ama vibaraka wao.
Well done Hon. Bishop.
 
Mimi nipo mwanza, nahitaji hicho kitabu.
Unatakiwa kutuma TZS 22,000/= kwa Tigo Pesa 0715729292
Kitabu TZS 10,000/=
Kutuma Mwanza kwa Basi TZS 10,000/=
Ya kutolea Tigo Pesa TZS 2,000/=

Jumla itakuwa TZS 22,000/=
 
Vitabu vipo vya kutosha mkuu
nilishanunua nimesoma nimemaliza andika kingine. Nimefurahisha na jinsi ushahidi wa kitaalam unavyotengenezwa. Pia kumbukumbu mbalimbali za nyuma kama vile za hospitali zinavyoweza kugeuka kuwa ushahidi mahakamani na kumfanya mtu ama kuachiwa huru au kutiwa hatiani kutegemeana na uhusika wake katika kesi. Kama Tanzania ikisisitiza kutunza kumbukumbu vizuri katika taasisi mbalimbali zinaweza zikasaidia sana mahakama zetu kutoa hukumu kwa haki. Kitabu chako kinajenga uelewa juu ya mwenendo wa makosai ya jinai; pia kinakuza lugha ya kiswahili kwani nimejifunza neno Mandari ambalo sikulijua awali ambalo lina maana ya picnic.
 
Back
Top Bottom